Hajui maana ya kutangaza biashara anataka tupige ramli kwa rav4 no A, watu wengine bana!Mkuu, Elezea zaidi. Ni Aitomatic au Manual, vipi kuhusu Mileage ? Ni vema ukaweka na bei hata ya kuanzia. Wengine ni wagumu wa kupiga piga simu. Ila ukiona hapa kila kitu inarahisisha kufanya maamuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app