Rav4 Kilitime cc1750

Chipskuku

Member
Joined
Sep 29, 2021
Posts
17
Reaction score
24
Wakuu nimetoka kuipenda hii gari lkn nasikia Zina shida Sijajua ipo wapi hii shida,,hata hivo naomba ABC ya hii gari cc 1750 injini 1zz,, AC ipoje?Spea zake na utulivu barabarani,pia kwa 9 m naweza pata namba D ya mwa
 
Watu wengi wanaogopa magari ya D4 engine ila ni Kwa vile mafundi wetu wengi hawataki kuumiza vichwa vyao kwenye magari ya kisasa
Wanawatishia watu ila kiukweli ni gari nzuri sana
Unajua huku Arusha watu wengi hawanunui gari bila kutafuta ushauri Kwa mafundi So Utakuta fundi anakushauri ununue kile ki-rav4 Cha zamani 1998 chenye injini ya 3s na vinauzwa ghali sana hapa jijini Arusha ...sio chini ya 14 milioni
Ndio utajua Tz ujinga ni mwingi sana
 
Ila Rav tajwa ni ya engine ya 1ZZ ile ya 1800cc which is a better choice!

Engine ya 1az ndio ina kimavi yani! Wameitengeneza kwa mfumo wa D-4 huo ambao unataka premium fuel na matunzo ya gharama oil za bei mbaya zile za elfu 90!

Ukiweka 20W 50 tu unachuma janga!
 
Wewe umesikia Kwa mtu au unayo?
 
Unajua kwanini vilipewa jina la Rav 4 mchagaa au Rav 4Manka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…