A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Habari zenu wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
 

Attachments

  • images (60).jpeg
    51 KB · Views: 32
  • images (63).jpeg
    47.2 KB · Views: 31
  • images (85).jpeg
    46.3 KB · Views: 31
Umeandika aya ndefu sana,inaweza kosa wasomaji.
Story yako ya serving toka 2017 ungebaki nayo.Sema una budget gani wadau wangepata urahisi wa kukuelewa na kukushauri.
 
Umefanya vyema,wakati unasubiria wadau,ungeangaza "kupatana" ujionee aina za magari unayopendelea,na bei zake.Utapata picha halisi
kweli aisee ngoja nipite huko pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…