MacksKayzee
Member
- May 21, 2018
- 10
- 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana Uganda wamepiga marufuku magari yenye umri wa miaka 15 na kuendelea kuingizwa nchini, Kenya miaka 8 hakuna tozo ya uchakavu au vinginevyo. Hiyo gari ina over 20 years.
Sasa hapa umekusidia kueleza nini?
Kwamba hilo gari ni chakavu saana, miaka zaidi ya 20 halitakuwa na ufanisi unaotakiwa. More than 20yrs
kwa wanao jua magari wanafahamu kwa mazingira ya kiafrika hii gari inaweza kudumu hata kwa miaka 20 zaidi. maintainance ni rahisi, body ni ngumu na inahimili changamoto za barabara za kiafrika.
Hili gari sio chakavu (scrap) unavyo sema wewe, Gari hujalikaguwa utajuaje kama liko chakavu. Inabidi ujue kutafsutisha kati ya neno chakavu (scap) na ya zamani (old). Na umejuaje kama halina ufaninisi (not efficiency) bila ya kulijaribu.
Gari lolote likiingia nchini lililozidi 8yrs linalipa uchakavu sasa wewe unajifanya una akili eti old not scrap woiii. Chakavu mkuu hilo gari lako
Kuna issue unasahau, gari za siku nyingi ni teknolojia ya siku nyingi. Hapo ninazungumzia emissions, safety standards, fuel consumption etc. Kwahiyo kilichopitwa na wakati kwa muda wa miaka 20 hakiwezi kufanana na cha sasa.iyo ni tafsiri potofu tu, walio tunga sera ya uchakavu kunauwezekano mkubwa sana hawanauwelewa wa nini tofauti ya uchakavu na uzee.
Inaweza ikawa ni gari ya mwaka 1997, ila imefungwa vipuri vyote vipya, na engine yake iko reconditioned. au imetembea kilometer 30000 tu...unaifananishaje na gari ya mwaka 2010, iliyotembea zaidi ya km 200,000, na haikuwa na schedule inayoeleweka ya service...ipi ni gari chakavu hapo
Kuna issue unasahau, gari za siku nyingi ni teknolojia ya siku nyingi. Hapo ninazungumzia emissions, safety standards, fuel consumption etc. Kwahiyo kilichopitwa na wakati kwa muda wa miaka 20 hakiwezi kufanana na cha sasa.
Kwa mwenye kutaka kunua gari kwa bei hiyo, basi mimi nakuhakishia kuwa hiyo ni best car kwa bei yake. Surely hutoweza kununua gari ya 2010 kwa bei hiyo. So hii ni best na efficient car, ukilinganisha gari zinazouzwa bei hiyo. You are more than welcome kuja kuikagua ili kuthibitisha ubora wake.
Ahsante
Sisi hatungumzii bei ndugu umekomaa na bei tu bila kujali vitu vingine kama athali za kimazingira, ufanisi wa gari na hata usalama. Hivi wanao tendeneza magari kila siku ya kuyaboresha ni wajinga c wangebaki na mari hayo hayo ya mwaka 97?alafu mbona zipo gari nzur tu za mwaka 2010 bei zake ni affordable tu
Wewe hujui unazungumza nini. Unataka uonekane unajua lakini hujui kitu. Malumbano yako haya tija kwangu. Wala kwa mtu yoyote, except your own ego which doesn’t benefit anyone except yourself. Wachie wenye uwezo wa kununua tufanye biashara. So back of buddy.