Hio miguu ya nyuma kutoa tege ni bush au track control arms,inarekebishika sema wabongo mpaka gari igome kwenda ndio wanafanya marekebisho.Nahisi kama ni nguvu na uimara Harrier inaweza kukufaa. Rav4 naona miguu yake ya nyuma ikianza kuchoka ni vichomi. Ila upande wa maintanance Harrier kidogo ipo juu.
Rav4 ni fuel economical kidogo kwa kulinganisha na Harrier na kidogo maintance yake ipo chini. Namaanisha spare parts kidogo zake zipo chini.
Am standing to be corrected though.
Cc: RRONDO, mshana jr