Car4Sale Rav4 si ya kuiacha ni nzuri sana

Joined
Jul 7, 2017
Posts
13
Reaction score
15
Rav 4 namb A nzuri sana
Full vibal full ac
Haina kiduku
Gari nzur sana imetunzwa sana
Bei ni 8.5m
Call 0718017711
IMG-20170707-WA0003.jpg
IMG-20170707-WA0010.jpg
 
Attachments

  • IMG-20170707-WA0007.jpg
    IMG-20170707-WA0007.jpg
    131.8 KB · Views: 64
Japo natumia Prado, ila nazikubali sana Rav4.
 
mbona kama imepigwa rangi.

je hii rangi ndiyo iliyokuja na gari na kusema imetunzwa...

gari inaonekana kama imetoka body
 
unapobagain bei kwa magari haya used ya third class sijui namba A<B<C uwe pia na uelewa wa gari kama hiyo ukiiagiza japani ni bei gani, maana utakapothubutu kuinunua hiyo used ujue utahitaji service nyingi sana ili itengemae na uweze kusafiir masafa marefu hata km 700 hivi. sasa ukitafakari vizuri bei ulionunulia na service zake ni bora ungevuta subira kibubu chako kijae na uagize yako japan ili pia uinjoy na harufu ya gari la mtumba toka japan,...... ha ha ha
 
Unamiiki yard nini?
 
Namba A town hazina soko ,,,na hyo bei uliyoiandika hapo ndo kabisa mtu akifika 4m mpe tu hamna namna kwa kwel!
 
Back
Top Bottom