RAV4 vs Harrier

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Ndugu yangu anahutaji gari. Kati ya RAV4 na Harrier anahitaji ushauti
 
Ndugu yangu anahutaji gari. Kati ya RAV4 na Harrier anahitaji ushauti
Asalaaam, huyo ndugu yako Bado hajajua utofauti au bei? Mbona mie naona swala hill LIPO UCHIII KABISA . Kama ndg yako ni Mzee anunue Harrier Ila kama ni kijana under 45 anunue RAV 4. Naomba kuwasilisha.
 
Baadae akichukua mwambia Mtaalam Roja24 anakukaribisha Club ya Magari # ULEVI100%#
 
Jamani

Sina gari na sitarajii na sina utaalamu wa magri.

Nachangia kama mtazamaji.

Ebwana Rav4 hizi model mpya za milioni 35 - 42 ziko vizuri.
Ahahahah bab sema unastarlet bab ahahaha
 
Nina Tz 11 hii inapigwa maji tu, iko tayari kwa safari muda wote.
Rejea kauli yako ya awali, nanukuu " Sins gari sitarajii kununua gari na wala siyajui magari " mwisho wa kukunukuu. Alafu unasema RAV 4 Tens na bei take ya MILION 34 ahahahahahaha
 
Rejea kauli yako ya awali, nanukuu " Sins gari sitarajii kununua gari na wala siyajui magari " mwisho wa kukunukuu. Alafu unasema RAV 4 Tens na bei take ya MILION 34 ahahahahahaha
Anhaa by kuyajua nilimaanisha kama vile kujua strengths na weaknesses za gari husika.

Ndiyo maana nikasema nachangia kama mtazamaji wa kuliangalia likiwa barabarani.
 
Asalaaam, huyo ndugu yako Bado hajajua utofauti au bei? Mbona mie naona swala hill LIPO UCHIII KABISA . Kama ndg yako ni Mzee anunue Harrier Ila kama ni kijana under 45 anunue RAV 4. Naomba kuwasilisha.
Naomba uhusiano kati ya uzee na uchaguzi wa hayo magari kama ulivyoindicate.. Nawasilisha
 
Kwani Harrier hybrid Vs Vanguard IPI Kali?
 
Mkuu Hebu Tutafute picha,nami Natafuta Picha ya Vanguard na Harrier hybrid tuweke hapa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…