Wadau ninamiliki toyota rav4 j , tatizo ambalo limejitokeza baada ya kubadilisha cylinder head gasket, con belling, spark plug cable, yaani ukiwasha inawaka na ukiweka gia, ninamaana driving inazima usipoiongeza moto wa kutosha, yaani ili isikate moto inatakiwa nikanyage mafuta mengi AF nikanyagie brek ndio litakubali, sasa sijajua tatizo ni nini? Naomba kueleweshwa nijue shida ya gari langu