habari wana Jf
nina rav4 tatu zilizo katika hali nzuri sana nazikodisha.
rate kwa siku ni tzs 50,000 ikiwa hapa dar na 100,000 ikisafiri
kwa flat rate ni tzs 50,000 kwa km 3500, kila km itakayozidi charge ni tzs 500
gari zote zina drivers
kwa maelezo zaid waweza nipigia
0765376378
asanteni.
mimi hiyo 40au 45 ila service kwako mkuu . dereva haitajikikwa bei hiyo huwa nawapa watu wa tour companies. na wao wanawajibika kwa services na driver
mimi hiyo 40au 45 ila service kwako mkuu . dereva haitajiki
hapa hawaitaji dereva ni kampuni pia gari inakodishwa kwa usalama kabisa hakuna uhuni kama huo .mikataba kila kitu mkuu sio uswahilimkuu nimepoteza gari moja had sasa, jamaa kakod kisha akaniambia gari imeibiwa akiwa nzega. siwez kujua mazingira au kama ni kweli gari iliibiwa. pia kutoa gari bila driver hujui nani anaendesha na kama he/she is qualified to drive as per tanzania laws, na pia utunzaji wa gari unakua zero kbs, najaribu kujilinda kwa kutoa gari na drivers