Rawan Osman akihutubia baraża la Umoja wa Mataifa azishutumu nchi za Iran, Misri, Syria na Lebanon kwa ugaidi na unafiki!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
875
Reaction score
633
“Je, umekasirishwa na vita vya Gaza? Mimi pia nimekasirishwa Naitwa Raman Rawan Osman Mimi ni Mshami nusu, nusu Lebanon Tangu Oct 07,2023 nilitembelea Israeli mara tisa na ninataka kushuhudia mbele za Mungu na mbele zako kuwa- Israeli sio Tatizo.

Wiki iliyopita Israel ilimzika Shiri Bibas na watoto wake Ariel na Kfir. Hamas walisema waliwakamata. Ripoti za uchunguzi ( Forensic lab ) zinaonyesha kuwa waliuawa kwa kunigwa huko Gaza. Lakini wengi wanaonyooshea Israeli vidole wanaweza kufanya vyema zaidi kujitazama kwenye kioo.

Nimewauliza nchi ya Qatar-Kwa nini hamkumkamata mkuu wa Hamas huko Doha na kudai kuachiliwa kwa mateka huko Israel? Kwa nini Una Fadhil I Ugaidi?? Na niliuliza Iran- Kwa nini unapeleka mabilioni kwa Hamas na Hezbollah badala ya kuwakomboa watu wako ambao wanateseka kwa dhuluma na umasikini? Nikawauliza tena Misri- unatoza maelfu ya dola ili watu wa Gaza watoke eneo la vita. Unawezaje kufundisha juu ya maadili ya kuwafukuza watu wa Gaza? Nikawauliza Jordan Kwa nini umekataa kuwakubali raia wa Gaza yoyote kuingia nchini mwako? Je, wao si watu wako?

Nikawauliza pia Lebanon badala ya kujadili jukumu la kisiasa la Hezbollah nawashauli kupigana marufuku chama hicho. Ninauliza Syria ikiwa rais mpya ana nia ya dhati kuhusu mabadiliko haya namwomba arudishe mwili wa El Cohen imekuwa miongo sita Ruhusu mkewe alike mme wake kabla hajafa. Hamas hudhulumu maiti tafadhali kuweni mwarabu bora muse Waislamu Bora. Kung’ang’ania maiti za raia wasio na hatia huo si Uislamu Bora!!!" - Rawan Osman, Mwanaharakati wa Syria
 
Attachments

  • Syrian_Activist_to_UN_“I_testify_before_God_Israel_is_not_the_problem!”.mp4
    6.3 MB

Takbiiiiiiiir
 
This women is typical zionism so dont espect something better from her
 
Hiyo ndiyo shida yenu huyo Mama kajitambulisha vizuri harafu wewe unamwita typical zionism harafu nashindwa kukuelewa kwa nini umesema “ This Women “ au njaa ndiyo inakusumbua?
 
Back
Top Bottom