Nadhani kwa uelewa wangu hiyo habari na picha ray na huyo mchuchu wameamua kufanya kwa makubaliano maalumu yenye ujira maalumu. Si unaona hilo pozi nalo ni maalumu? Au unajifanya hujui pozi la fumanizi lilivyo na umaalumu wake? No sex intercoz there.
Kweli kuona picha hatujui hata kusoma hatujui? Hili ni tukio la kweli na huyu bwana sasa hivi ataingia matatani. pamoja na kwamba magazeti ya rangi hayahaminiki lakini hapa kuna ukweli, huyu jamaa ametumia usupastaa wake kumla kinda la shule. tutaona mwisho wake.0na-doubt huyu jamaa anaweza akawa pacha wake na ray
Mmh, cdhan kama hlo ni poz la kufumaniwa jaman
Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....
Usihadaike mkuu,hii kitu sio kweli mtu hafumaniwi na mtoto wa shule akapozi namna hiyo kwa picha.hii habari aliitoa shigongo no doubt ni katika mwendelezo wa kutafutiza visa auze magazeti yake penginepo ni kwa makubaliano yao na ray mwenyewe
Wakuu nyie hamuelewi mpo nyuma ya kioo Mastaa wa Bongo sikuhizi wanatumiwa na Magazeti kufanya Biashara maisha magumu pesa haitoshi, Magazeti yapo zaidi Kibiashara Ray mnaemsema ameshaweka chake mfukoni sisi tunapiga polojo!! Ukiona habari ya kushitua ukanunua basi hapo ndio Magazeti yanatengeneza Pesa, Hiyo ndio Marketing ukisikia.Hao Mastar wa Bongo Sibasi tuu.
Vina uhusiano, hiyo picha walipiga badala ya kumaliza tendo, Ray kwa akili zake ndogo akakubali kupiga picha na mwanafunzi wakiwa watupu, i think walitumia cm sasa imevuja, itamkosti sana Ray, nitashangaa kama hatapigwa pingu labda kwa vile serikali imejaa wasanii.Labda kama picha na habari havina uhusiano!
kheee,we dogo umeshafanya homework?yani umenitafuta kote kusaka comment zangu,lol...sasa bwana mdogo nyaumbu si upeleke umbea wako kule kwani hk jf hauna mashiko na ndo mana hakuna anayeupapatikia,unajaza server zetu bureee.
Una uhakika mimi ni dogo?kajipange kwa hiyo ww ndo unapapatikia ray kufumaniwa?hiyo ndo ajabu?kama ungekua na akil sio ya kuvukia barabara tu ungejua ipi ilipasa kuwa habar kwa sababu tid amehojiwa redion na hii ni udaku usiobalance yaweza kuwa hata promo ya movie mpya!!!vipi bodi imekupa mkopo? manake ndo mliojaa humu na kuita kaka zenu dogo
wanampa kiasi gani ambacho hajawahi kukishika ukosefu wa upeo tuu...Wakuu nyie hamuelewi mpo nyuma ya kioo Mastaa wa Bongo sikuhizi wanatumiwa na Magazeti kufanya Biashara maisha magumu pesa haitoshi, Magazeti yapo zaidi Kibiashara Ray mnaemsema ameshaweka chake mfukoni sisi tunapiga polojo!! Ukiona habari ya kushitua ukanunua basi hapo ndio Magazeti yanatengeneza Pesa, Hiyo ndio Marketing ukisikia.
Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....
Usihadaike mkuu,hii kitu sio kweli mtu hafumaniwi na mtoto wa shule akapozi namna hiyo kwa picha.hii habari aliitoa shigongo no doubt ni katika mwendelezo wa kutafutiza visa auze magazeti yake penginepo ni kwa makubaliano yao na ray mwenyewe
Leo hii tunaona RAY naye bado anaendekeza uchafu ule ule.....
Usihadaike mkuu,hii kitu sio kweli mtu hafumaniwi na mtoto wa shule akapozi namna hiyo kwa picha.hii habari aliitoa shigongo no doubt ni katika mwendelezo wa kutafutiza visa auze magazeti yake penginepo ni kwa makubaliano yao na ray mwenyewe
Amini amini nakwambia hakuna filamu.sioni skendo yoyote zaidi ya promo kwa ujio wa filam mpya ya Ray