Ray atetea uamuzi wa kumvisha hereni mtoto wake ambaye ni wa kiume

Naomba mfano wa huyo mtangazaji please
The celebrated Ed Bradley. The first black White House TV correspondent.

Marekani huyu ashatangaza mpaka kipindi kinaitwa "60 Minutes". Jamaa kavaa hereni on air tangu 1986!

Anaheshimika mpaka kesho kwa kazi alizofanya na akili yake, watu wengi hawakuangalia vitu artificial kama mwanamme kuvaa hereni.

Sisi tunashangaa mtu kumvisha mwanawe hereni leo.

Marekani ukitangaza "60 Minutes" ndiyo umefika chati za juu kabisa katika utangazaji.

Ed Bradley - Wikipedia

60 Minutes - Wikipedia

On the show, Bradley was known for his sense of style. He was the first male correspondent to regularly wear an earring on the air. He had his left ear pierced in 1986 and says he was inspired to do it after receiving encouragement from Liza Minnelli following an interview with the actress. He is also thus far the only male 60 Minutes anchor to do so, though male correspondents from other network programs, including Jim Vance, Jay Schadler, and Harold Dow, later wore earrings on camera. Besides 60 Minutes, Bradley also anchored the news magazine program "Street Stories" on CBS from 1992-1993.
 
Thanks mkuu
 
Mwanaume kuvaa hereni ni dalili za ushoga. Hapo kuna meseji inatumwa kama hamuelewi.
 
Kabisa. Wasukuma walikuwa wakisuka pia, hata wanaume haswa wacheza ngoma. Sasa hivi ukila msuko, ati unaonekana unaiga umagharibi!
Chanzo cha yote haya ni akili za kimaskini,mfano nikiangalia picha za Dingi enzi za ujana wao(same to JPM,KM) alikua anapiga ananyoa panki halafu anapiga wei na mikato flan hivi bab kubwa,huku wamama walikua wanavaa vigauni vifupi havivuki goti,halaf haohao leo hii mtu akipiga kidugu wanaona ni uhuni au dada akivaa kimini wanaona anatembea uchi....wakati bibi zao nao walikua wanavaa majani tena wanaficha K tu ziwa lote nje....
 
Uyu jamaa ni mmoja wa wasanii wenye uwezo mdogo sana wakufikili.
 
Sidhani km ataendeleza tena malumbano na wewe
 
Dah jamaa anatakiwa akue matendo yake hayafananii na umri wake...hakuna kitu nakichukia kama mwanaume kuvaa hereni au mwanamke kutoboa pua...
Acha ushamba wewe,wamakonde kutoboa pua ni sehemu ya utamaduni km ilivyo kwa mtoto wa kiume kupitia jando au kwa mwanamke wa kiislam kuvaa hijab.....
 
Acha ushamba wewe,wamakonde kutoboa pua ni sehemu ya utamaduni km ilivyo kwa mtoto wa kiume kupitia jando au kwa mwanamke wa kiislam kuvaa hijab.....
acha niwe mshamba huo upuuzi sipendi na sitakaa niupende si kila mila na utamaduni unafuatwa ndio maana ata baadhi ya Imani zinaruhusu mke zaidi ya mmoja na babu zetu walikua wanafanya hivyo ila mimi sitakaa nioe mke zaidi ya mmoja
 
Amesahau mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Hakumtendea haki mtoto hata kidogo. Amwache akue ndipo aamue mwenyewe kuvaa hereni au la. Mbona yeye Ray hakuvalishwa hereni utotoni na baba yake? Au baba yake alikuwa 'mshamba' kama sisi wengine!
 
acha niwe mshamba huo upuuzi sipendi na sitakaa niupende si kila mila na utamaduni unafuatwa ndio maana ata baadhi ya Imani zinaruhusu mke zaidi ya mmoja na babu zetu walikua wanafanya hivyo ila mimi sitakaa nioe mke zaidi ya mmoja
Kwa maandishi yako tu ni wazi huna uwezo wa kuhudumia mke zaidi ya mmoja,hata huyo mmoja sijui kama una mmudu.....
 
Ray huna akili utamvishaje mtoto wa kiume heren muache akikua amuue mwenywe .Biblia inasema enyi kina baba msiwachokoze watoto wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…