Ray atetea uamuzi wa kumvisha hereni mtoto wake ambaye ni wa kiume

Marekani ni Marekani na Tanzania ni Tanzania
Luna vitu Marekani wanavifanya na Tanzania hawavifanyi
Marekani si superior kwa Tanzania kama nchi.
Wewe kuwa Marekani hakukuongezei busara kuliko mtanzania aliyeko Tanzania
Ray angalimvalisha mtoto wake hereni akiwa Marekani isingekuwa hoja, imekuwa hoja sababu yuko Tanzania ambako hakuna mtangazaji au profesa aliyetoboa masikio
Hoja si tu kuwa Tanzania Bali kuwa mahali ambapo hapana mazoea hayo
 
Ngoja siku awe shoga ndo ataelewa picha

Wanapandikiza roho za ajabu bila kujua
 
Ye mwenyewe mwanaume gani na akili zako unatobia sikio?bullshit
 
Anamwandaa vizuri ili wazee wa Mambo yale wasipate Shida kwene Kumpumulia...
Kaka mdogo kama umesoma comment hii Nakushauri uache mambo ya ya ajabu huwezi kumvalisha mtoto mdogo vitu ambavyo yeye havijui halafu ukasema ni maamuzi yako. swali : je, akikua halafu akasema ulimdhalilisha? si itakua aibu kwako ? acha mambo ya ajabu !!
 
Yani mwanaume mzima anajisifu kutoboa masikio tena Kwa minajili eti ni maarufu, Hawa wasanii vichwa vyao mabox mdio mana hata wakipitisha bakuli wawapo na maradhi ata sijali
 
Ukisema kwamba unaweza kujua uwezo wa kufikiri wa mtu kwa kuangalia jina lake tu, tena jina bandia la JF, unaidhihirishia dunia ufinyu wa uwezo wako wewe wa kufikiri.
 
Ukisema kwamba unaweza kujua uwezo wa kufikiri wa mtu kwa kuangalia jina lake tu, tena jina bandia la JF, unaidhihirishia dunia ufinyu wa uwezo wako wewe wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…