Ray C afanya vurugu kisa dawa za kulevya, apelekwa rumande

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila'Ray C' amedaiwa kufanya vurugu katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar baada ya kuchelewa kupata dawa za kupunguza makali ya matumizi ya madawa ya kulevya ‘Methadon'e na kukuta wafamasia wanaotoa huduma hiyo wanafunga ofisi.

Msanii huyo alianza kutukana matusi wakati siyo utaratibu, na kwamba dirisha la kutolea dawa hufunguliwa saa kumi na mbili na nusu hadi saa nne na nusu siku za wikiendi na siku za kawaida ni saa kumi na mbili na nusu hadi saa sita na nusu. Ray C alikamatwa na polisi na kusekwa rumande kituo cha polisi Osterbay.
 
Pole Yake Dada Yetu Ray C Akiamua Kuacha Toka Moyon Mbn Hat Hy Methad Wala Kwnda Soba Hakuta Muhus Aige Mifan Kwa Wengine Ye Anamuhemk Wa Kutaka Kuacha Ila Sio Dhamira Kutka Ndan
 
Haya asante tuma salamu kwa watu wa 5

ningependa kutuma salaam kwa ndugu yng Jerrymsigwa, pili zimfikie mzee wa sitowangusha Magufuli, tatu zimuendeee rafiki yng diamondplatinumz, nne zimfikie mzee wa safari ya matumaini LOWASSA na tano ziendee kwa members wa jamii forum wote ujumbe nigekukaza ungeniheshimu
 
Mwee pole zake.....mange alimshauri aende rehab coz methadone inasababisha addiction akamuona lofa..
 
Pole Yake Dada Yetu Ray C Akiamua Kuacha Toka Moyon Mbn Hat Hy Methad Wala Kwnda Soba Hakuta Muhus Aige Mifan Kwa Wengine Ye Anamuhemk Wa Kutaka Kuacha Ila Sio Dhamira Kutka Ndan

Tema mate chini....Yale ma vitu ni ngumu sanaa kuacha ingawa inawezekana ndio.

Watu wanafanya kutulizwa tu. Ni kama unavyoona ngono.
 
Hivi hajapona bado?

Drug addict akishacheza na akili hawaponi.addiction is a personality disorder . Akikosa dawa tu anakuwa na hamu na heroine kinoma.Action Yake inaelekea Ana cheat
 
Huyu dada asiposaidiwa tutamkosa siku si nyingi na kuna watu wanamfanyia makusudi ili asipone.
 

Hahahahahaha ama kweli jamvi ni mwisho wa matatizo 😀😀😀
 
Ray C anatakiwa ajitambue kuwa kwasasa yeye sio Ray C tena ila ni Rehema. Hivyo anapaswa kufika kwenye vituo husika kwa muda muafaka ikiwa ni pamoja nå kufata masharti yote. Huu ni mwaka sijui wa ngapi Rehema anakunywa metho tu, kama anaona kwake ni vigumu kufata masharti ni heri akakae kwenye vituo maalum vya kusaidia watu wenye matatizo yake. Hizi scene zake za kila siku hazitamsaidia lolote zaidi ya kumchoresha tu.
 
Kama sikosei hii ni Mara ya pili sasa anachelewa......

Huyu dishi lake nadhani halijayumba, bali limedondoka kabisa......
Teh Teh boss umenichekesha nimevuta picha la dish lililo dondoka daa hatari! Nina hakika huyu ana miaka mitatu lazima afungwe kamba na kupelekwa mirembe lasivyo atakuja kutoa roho mtu! Swala la Rayc ni zaidi ya madawa...huyu ni mental case..!
Kilicho nishangaza ni ile mara ya kwanza alipo chelewa na kunyimwa dawa halafu akajirecord analia nilivyo ona ile video niliamini kabisa dish limeyumba mazima sasa bila shaka limedondoka ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…