Ray C afanya vurugu kisa dawa za kulevya, apelekwa rumande

Pole Yake Dada Yetu Ray C Akiamua Kuacha Toka Moyon Mbn Hat Hy Methad Wala Kwnda Soba Hakuta Muhus Aige Mifan Kwa Wengine Ye Anamuhemk Wa Kutaka Kuacha Ila Sio Dhamira Kutka Ndan

Haa haa acha assumptions mkuu , hamna njia ya kuacha ya kutoka moyoni .. kwa mtu wa madawa hawezi kuacha hivi hivi bila dozi ... hata uwe na dhamira ngumu kivipi madawa ni kitu kingine. Ni kama mtu akifiwa alafu useme aweke dhamira ya kutosikitika haiwezekani ..
 
Hivi hiyo methadone Ni unakunywa mpaka miaka mingapi?ray haponag tu
 
Hivi hiyo methadone Ni unakunywa mpaka miaka mingapi?ray haponag tu

Kuacha dawa za kulevya ni kazi Sana it takes time huwezi kuacha ghafla utakufa so unakuwa unatumia dozi uku unaonja kidogo
 
Jiulize unaweza acha ngono (hata punyeto) mazima mpk unakufa ?? Baas ujue na madawa ni some sort of a similar issue. Wapo watu nimesoma nao high school wame end up mateja (bad company / usela mavi). Kuna mshkaj tulim visit kwao akawa analia machozi kama mtoto analalamika his life is f*cked up anapata shida sanaa kuacha. Mama mtu kila siku ni kulia tu.

US inaongoza duniani kwa mateja, kila siku wanakaza sheria. Ndio maana china ukidakwa nayo wanakusulubu. Utakuja gundua unga noma pale unapoona ndugu/damu yako anauza laptop ya laki 5 kwa elfu 40 ili akanunue unga.

Biashara ya laana ile, mtu anatajirika kwa kuuzia sumu wenzie.
 

Hahahahahah Diamond alimwambia Diva, ngekukaza ndo ungeniheshimu, sio hiyo yako
 
Uyu vp kwan kuna mtu alimtuma atumie! kafie mbalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…