Ray c afunguka asema jackie cliff anyongwe kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013.Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na vyombo vya dola nchini humo bila kuandika chochote, lakini mizuka ya kufunguka ilikuja kupanda baada ya baadhi ya followers wake kumtetea Jackie.“Wewe tulia mi na hasira maana najua walichonifanya Hawa wauzaji!?!niliingia kwenye madawa na niliwapa kila Kitu hawa wauzaji ili nipate unga maana tayari nilikuwa nimeshaathirika,hawakunionea huruma pamoja na aibu yote walichotaka wao ni pesa ili nipone ndio niheme!!!!!!nilipokuwa na hela walinithamini ila nilipoishiwa walinilaza kwenye box na arosto!!!niliwaomba hata kidogo ili nisiumwe but hawakunielewa ingawa nilishawapa mamilioni ya hela Na nyumba nikauza!!!!!!!sikia tu arosto na omba isiwahi kutokea kwa ndugu yako wala mtoto wako!!!!!!jinsi mama yangu alivyohangaika Na Mimi k**aninA huyu jacky afe tu mbwa mkubwa!!!!na muuaji ndugu za watu wanalala barabarani mmpaka tunaimbwa teja wa mapenzi!!!!yani acha kabisa!!!wafe wanyongwe,mafirauni wenye dhambi kubwa mbele ya mungu!!!ktk jina la yesu!!!!Wanyongwe!!!!!!!Kill them,” aliandika Ray C.


Kifuatacho ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.




 
Tena mie Ndio hua nawaombea dua baya kuliko la RayC wanyongwe kabisa hawana huruma hata kidogo hawa!
 
Mmmhh nayee angekua ndugu yake angesema auliwe tu
 
Wafe kabisa wauza unga wote watundikwe kitanzi
 
huo unga aliopeleka china utageuka panadol muda si mrefu!

subirini tu mtasikia mengi!
 
mkuu Money Stunna, sorry lakini kama ntakuboa, ila naomba uwe unakuza herufi kidogo ili zionekane vizuri!

mmaneno mengine yanaumiza macho mkuu!.. ni ushauri tu!
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh,ncheke mie.......huko ni kutafuta kiki kwa bei rahisi,dat b***ch called ray c his rehab service was much supported by "mkuu" kwa nini asingemtajia huko alikokuwa na waliokuwa wakimuuzia huo unga watiwe ndani.......unafikidunia!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…