Ray C ajitolea kumsaidia Daz Baba kuacha madawa ya kulevya, Daz Baba mwenyewe asema hatumii unga

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Mwanamuzi Mkongwe wa Bongo Flava Ray C a.k.a Kiuno Bila Mfupa Amejitokeza na Kusema Yupo Tayari kuanza Kumsaidia Mwanamuziki Daz Baba Anayesemekana kuathiriwa na Madawa ya Kulevya Kiasi cha Kudhoofika mwili.

Japo Ray C amesema hayo ila Mwanamuziki Daz Baba siku si nyingi alihojiwa na Radio moja Maarufu Bongo na Kusema yeye hatumiii Madawa ya Kulevya Hata Kidogo Bali Hupenda tu Kukaa Vijiweni na masela wanaotumia Madawa ila yeye hatumiii.

Je, kuna ukweli wowote kuwa Daz hatumii Madawa bali anasingiziwa tu?
 
Huyo ray c kwanza ameshapona? Ukute yeye mwenyewe hajaacha sasa mgonjwa atamsaidiae mgonjwa mwenzie? Au kama vp Akaanze na lord eyez kama kweli ni mtu wa msaada. Yule aliyekua anamkatikia kiuno bila mfupa ndio aanze nae huko kwingine ni kutafuta sifa tu!
 
Money Stunna

ukweli ndio huo aliousema Daz....la kama anatuendesha basi msuto unamkaribia
 
Last edited by a moderator:
Hiv huyu bib ameshasaidia wangap mpaka sasa hiv...? Au anajisheua tuu na yeye aonekane yumo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…