Ray C ala tenda nono hospital ya Mwananyamala

Hongera sana Ray C! Kumbe mamii ule wimbo wako wa mama ntilie sio mashairi tu ila umo kwenye hiyo shughuli?Na kwa utaalamu wako wa hizo shughuli za kukarangiza na ujasiriamali ukawashinda wengine walioomba hiyo tenda.Big up Super Lady!
 
Heri ya kuzaliwa mmbea mkuu kwenye ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.
 
Aahha!! Kumbe eeh?? Basi ndo umama ntilie unamuweka busy mjini apa, dar ila saf kama kaamua kuanza na moja maana aliporomoka haswaa

ni njema pia aieseeee.............

Ray C foundation imemsaidia sana
 
ni njema pia aieseeee.............

Ray C foundation imemsaidia sana

Kwa hiyo mauno yale jukwaani bas tena? Dah ila angefanya collabo na mama nyoka aka jide ingefanya vzur, unajua muzik unalipa sana , sasa aanze umama ntilie tena dah ila atawez lakin kama amemaanisha
 
Kumbe warumi ni MR? Basi kazi ipo....

Ujue nashangaa sana wewe ni mtu wa pili kuniuliza hili swali,kwani kuna ajabu gani???mwenyewe juzi hapo kasema ana mke na mtoto pia usipende kufananisha maisha ya mtu na mambo anayofanya humu ni vitu viwili tofauti...kila kitu ni fake kuanzia ID
 
Last edited by a moderator:
Ule wimbo wa mama ntilie ulimtabiria vizuri sana...
 
Hongera bibie kiuno bila mfupa..tusambazie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…