Ray C amuomba msamaha Zamaradi Mketema

Hivi Rayc hizo picha ashaona anapendeza mno na huo wanja wake wa kichangudoa amekua kama diva kujipiga nusu nusu si ajipodoe vizurii tu

Yaani acha tu mimi ananikera kama nini,anatakiwa apake make up simple na ana mvuto mbona???
Ananikera anavyoanika mwili wake michirizi mitupu....
 
Yaani acha tu mimi ananikera kama nini,anatakiwa apake make up simple na ana mvuto mbona???
Ananikera anavyoanika mwili wake michirizi mitupu....

Huo unenee sababuu zamani alikua mzurii
 
ukifulia UTU unarudi,hapa ni unafiki tu..Ruge kamtema ndio maana anaomba msamaha kwa Zama,,Ruge naye ilikuwaje akawa anapiga teja huyu?
but hii tabia ya kutumia social media kuomba msamaha/kushauri bado hajaacha? naona amesahau teja mwezie TID alivyomtukana
 
Huo unenee sababuu zamani alikua mzurii

Na hatorudia tena ule uzuri wa zamani....ray c alikua mzuri jamani basi tu
Madai yake sasa ivi eti mapedeshee wanamsifia ana shape ya kike zamani alikua havutii....
 
Hahahaaa...ndio mali ya umma, kila kona ameacha mbegu...we hukumbuki walivyomgombania siku ya birthday yake...

Ila ndo soon inabinafsishwaa....itakuwa kupiga simu mwisho saa kumi na mbili...kama ofisi ya serikali vilee....heheheeeee!

Watu mna maneno...
 
Waoane tuone.....mbomoa nyumba si mjenga nyumba.Kunguru tangu lini akafungwa??
 
Huyu si alisema JK babake..sasa mtoto wa Rais anauza ubwabwa na vibua mwananyamala kweli?
 
Hivi Rayc hizo picha ashaona anapendeza mno na huo wanja wake wa kichangudoa amekua kama diva kujipiga nusu nusu si ajipodoe vizurii tu

Bado medula INA mawenge
sijui nani anamtiaga miwanja hii :banghead:
 
Ila bora mwenzie kazaa kidogo ana uhakika na maisha, ray c akalale tu, angezaa na ruge asingehangaika kuuza chakula mwananyamar, dah ray c wa watu, kafulia ndo anajifanya kawa mtu wa amani, pesa izi

Hahaa bora anauza wali ng'ombe
maana pamnyanga siku hizi watu hawataki
tusimcheke maana alinusa 6 feet's under ajitahidi tuu anaweza kutoka
 
Hahahaaa...ndio mali ya umma, kila kona ameacha mbegu...we hukumbuki walivyomgombania siku ya birthday yake...

Ila ndo soon inabinafsishwaa....itakuwa kupiga simu mwisho saa kumi na mbili...kama ofisi ya serikali vilee....heheheeeee!

Log mmmmhhh thubutu kunguru anafugika tangu lini lazma atakula kona tu rugema..
 
Labda hakupewa mtajii,maelewano yao ni kumtibu basii
Alijishauaje? Kila sehemu alijitangaza n kumuita kikwete baba, mfyuuu weny baba yao wametulia tulu ye kaz kujishaua ndo akazane na umama ntilie mtoto wa rais
 
Uwii rugeee huyoooo nooooo💨💨💨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…