Ray C amuomba msamaha Zamaradi Mketema

Alijishauaje? Kila sehemu alijitangaza n kumuita kikwete baba, mfyuuu weny baba yao wametulia tulu ye kaz kujishaua ndo akazane na umama ntilie mtoto wa rais

Bina lala ukue eti,,
 
Na hatorudia tena ule uzuri wa zamani....ray c alikua mzuri jamani basi tu
Madai yake sasa ivi eti mapedeshee wanamsifia ana shape ya kike zamani alikua havutii....

Mmmmh.....ya kweli haya ndugu yangu?
 
mzee mzima wa fursa ndo anakamatia shadee mpaka zamaradi kamnunia

lakini kuna vikao vinaendelea vya Zama na mzee wa Fursa waishi pamoja..
haka ka Shadee nako kama pombe -komoni ya msibani kila mtu anajichotea
 
kuolewa mazima? kiko wapi
 
Kafanya jambo jema sana Binadam anatakiwa kuwa na Aman ktk maisha yanini mambo ya uhasama maisha yenyewe mafupi na Magum kukicha afadhali ya jana
 
Kafanya jambo jema sana Binadam anatakiwa kuwa na Aman ktk maisha yanini mambo ya uhasama maisha yenyewe mafupi na Magum kukicha afadhali ya jana
Kweli kabisa mkuu maisha yenyewe hatujui kesho hakuna kitu kizuri kama ndugu kuishi kwa amani na kupendana kueshimiana na kuombana msahaha pale tunapowakosea wengine. Hongera sana Ray C.
 
Kweli kabisa mkuu maisha yenyewe hatujui kesho hakuna kitu kizuri kama ndugu kuishi kwa amani na kupendana kueshimiana na kuombana msahaha pale tunapowakosea wengine. Hongera sana Ray C.
Aksante Ilo ndo kubwa kwa Mwanadam anaejua nini neno MAISHA
 
Hongera Zamaradi kwa Kufunga Pingu ya Maisha na Al- Bin Majaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…