Ray C Anaperfom live yupo vizuri sana

Ray C Anaperfom live yupo vizuri sana

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau
Ray C yupo live TBC akiwa Mlimani City ana perform kwenye tamasha la Dar fresher's day.
Ukweli yupo vizuri sana tofauti na niliaminishwa hapo awali.
Mungu azidi kumtia nguvu na afya.
 
Mwangalie kiuno vizuri vipi kina mfupa??.kama kizito kama jiwe na hakinyumbuliki basi kwisha habari yake maana hicho ndo kipimo kikuu kwetu!!
Kipo OK although siyo kama zamani
Ameimba nyimbo kadhaa za zamani, acheza kama kawaida
Mungu nimwema Sana
 
Hivii kuna kamwanaumee kanamtaman tena huyo teja kweliiii.......
 
Mungu amtangulie.
Zaidi ya yote ampe mume. Maana alishatangaza lakini Vijana kama vile hawamuoni kabisa.
Sasa alitangazia wazee, nao kama hawamuoni! Mungu atende muujiza wake.
Ameen.
 
Back
Top Bottom