Ray C awafungukia mastaa wanaomponda shoga Caitlyn (Bruce Jenner)

Watu wambea jaman, kwa hyo uvumilivu umekushinda? Hamna kuweka, tunapeana wenyew tu wapenda umbea, nyie si mnatutukanaga humu mxiuu mtakula jeur yenu

Hahah warumi we jaamaa umenichekesha aisee, so unamkomoaaaa..
 
Last edited by a moderator:
Anaezunguka na mashoga Hua ni wemaa,hapo aliona akitaja jina Tu team zitamvamia
 
Watu wambea jaman, kwa hyo uvumilivu umekushinda? Hamna kuweka, tunapeana wenyew tu wapenda umbea, nyie si mnatutukanaga humu mxiuu mtakula jeur yenu

hhhhaaaaaaaaaa uwiiiiiii umbeyaaa hoyeeeeeeeeeeeeeeee akatafute insta ndo tushasemaaaa
 
Last edited by a moderator:
hhhhaaaaaaaaaa uwiiiiiii umbeyaaa hoyeeeeeeeeeeeeeeee akatafute insta ndo tushasemaaaa

Atupisheee, asituletee shombo umu mxiuuu, wanajifanya ma gentleman hawapendi umbea kumbe yenyewe ndo ya kwanza kusoma umbea humu mxiuuuu maninaaaaaa
 
Ahahaha, kuna mijitu humu inajifanya inatutukana halafu umbea na wenyewe wanapenda

Pole sana kwa kutukanwa, ila kumbuka hata CCM wanawatukana CHADEMA halafu mwisho wa siku wanapelekaga kadi zao na kujiunga na CHADEMA, ilitakiw huumpe Kadi ya uanachama inawezekana umepata member mpya.
 
Atupisheee, asituletee shombo umu mxiuuu, wanajifanya ma gentleman hawapendi umbea kumbe yenyewe ndo ya kwanza kusoma umbea humu mxiuuuu maninaaaaaa

Unajua kuniuaaaaass mamaaaaaeeee
 
Yolooooooooo,hongera Cartlin sijuii catin
 
Attachments

  • wp_ss_20150606_0002.png
    131.4 KB · Views: 330
Ila kasema ukweli bina. afu jamaa kawa mtamu kuliko ex wife wake.
tufanyeni mpango wa kutubu dunia ishaisha.

Bora wanaofanya kwa siri, ila yeye kaamua kujibadilisha kabisa na jinsia, mmh inatisha
 
Yaani toka nimemkanyaga ray c coco kwa kumdanganya mi ni mdogo wake mwigulu nimemdharau sana..

Debe tupuuz aliwachi kuvumazz....ulimkuta na mihamu yake tu kama kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…