Ray C awafungukia mastaa wanaomponda shoga Caitlyn (Bruce Jenner)

Mie mbona nipo, niko naalika watu kila siku huoni wanaongezeka?
Bado tu binamu kujiunga tuanze kazi.

Mimi nadhan ntakuja wakijaa jaa nifungue group kwa ubuyu, si mpaka niende kwenye google nikaingilie uko ndo ntaliona group
 
Usimalizie hapa, yaone mimacho ilivowatoka...mfyuu zao wao si hawapendi umbeya na udaku

Ushamjua eeh? Nimekutumia pm,hawa mbwa wengine watakula jeuri yao mxiuuuu
 
Mimi nadhan ntakuja wakijaa jaa nifungue group kwa ubuyu, si mpaka niende kwenye google nikaingilie uko ndo ntaliona group

Yeah, njia ndio hiyo maana hakuna jinsi nyingine.
Basi usichelewe sana bwana watu tunakusubiri kwa hamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…