ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
- rayctanzania: Jamaani hii tabia sio nzuri kabisa!!! Sijafa bado! Kama mnaona umuhimu wa sauti yangu kwenye show zenu muwe mnaniitaga basi!sina cancer ya koo ya Kushindwa kuziimba hizo nyimbo!Nandy hii mara ya mwisho ukipanda fanya kazi zako! Hii mara ya pili ujue! Mashabiki zangu hamuwatendei haki!i don't like it sipendi! Maana hata tukigongana muda mwingine hata salam hamnipi kwahiyo staki mazoea.......
"Niliimba tusitaftiane visa tena Pisha sio tena Presha"
[HASHTAG]#sipendiunafki[/HASHTAG]
[HASHTAG]#nawewetena[/HASHTAG]
[HASHTAG]#mnanilakini[/HASHTAG]
[HASHTAG]#kilamtuapaterizkiyakeyajasholake[/HASHTAG]