Ray C: Nilianza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 16

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Alikuwa akihojiwa kipindi cha Planet Bongo,
amezungumzia mambo mengi ikiwemo bifu za wasanii, kutoa albamu, alivyoanza mapenzi .
Amedai bifu zinauwa ni nzuri sababu zinachangamsha muziki, alianza mapenzi akiwa na miaka 16 ila walaiachana kutokana na utoto na pia amedai watu wanamiss albamu kama zamani kwa kuwa siku hizi wasanii hawatoi tena, pia amesema sasa hivi ana nyimbo 8 tayari
 
inatuhusu nini????
acha umbea mtu mzima
 
Mbona alikuwa mkubwa tu kwa umri huo, sasa hivi Hali ikoje Bora yake
 
Mbona alikuwa mkubwa tu kwa umri huo, sasa hivi Hali ikoje Bora yake
 
Hayo yalikuwa mapenzi au zinaa? Call a spade a spade not a big spoon!!!
 
mnavyomshushua looohhh!!!hapa no celebrirties forum kinazungumzwa kila kitu....

hebu tuweni wastaarabu kidogo
 
Yaani huyu toka aseme ana nyimbo ime kuwa wimbo hata hatoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…