Ray C: Nilianza mapenzi nikiwa na umri wa miaka 16

Yaani mleta uzi huu naona anavyojuta kwa hizi comments zinavyomuelemea, Mkuu vumilia2 uupate uzoefu wa humu JF
 
Unashangaa nn? Demu wangu wa kwanza alikuwa na miaka 15 nikiwa na miaka 25 enzi hizo[emoji23][emoji23] na kenyewe ndo kalikuwa kanadata data, nkanyoosha mshale, sasa hv kameolewa


Wewe ni paedophile kabisa. Huyo msichana wa watu pengine bado anahitaji therapy mpaka leo. Hufai kwenye jamii, nyinyi ndio mnatuharibia vitoto. Hicho kibinti kingekuwa changu na wewe lazima ningekuinamisha ili upate adabu
 
MAPENZI ????? acha bwana LABDA ALIANZA KUJAMIIANA /NGONO maana kama kabla ya hapo alikuwa na uadui
 
Hovyoo. ..ndio maana historia ya maisha yako haina mvuto, mungu alikupa maisha kupitia kipaji chako lkn umeshindwa kukitumia.
 
Wengine za kwao zingekuwa pencil, kila wakitaka kugegeda wanachonga, nadhani sasa hivi wangebakiza kifutio!!
 
Miaka16 kijijinikwetu ni mama wa watoto wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…