decent girl
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 302
- 139
HIZO PICHA ISIJE KUWA ZA ZAMANIHIZO PICHA ISIJE KUWA ZA ZAMANI
ANYWAY JUMANNE NILIMWONA RAY C PALE MAKUMB7SHO
Ni za sasa mkuu nenda kwenye account yake ya Insta watu wanavomshambulia na wanataka apige picha ya sasa aweke maana anaeka za zamani tuMwenyewe alishasema hizo picha ni za zamani sio sasa
Hasemi kweli, anahudhuria tiba M-nyamala then anasogea pale A kula chakula cha Nyoka na masela! Katiza M-nyamala A kati ya saa 4-6, weekdays hutamkosa na mateja wenzie wanapona!Mwenyewe alishasema hizo picha ni za zamani sio sasa
Mm huwa namkubali sana mange kimambi huwa hakurupuki katika kutoa taarifa au ushauriHIZO PICHA ISIJE KUWA ZA ZAMANI
ANYWAY JUMANNE NILIMWONA RAY C PALE MAKUMB7SHO INAVOONESHA BADO ANA HITAJI MUDA ZAIDI KUACHA KABISA MIENENDO YAKE MIBAYA
Wanaume wa mikoani mna swagga....Wanaume wa dar katika ubora wao
Hey men of Dar-es-salaa at your level best come here there is a discussion about RAY-C's life
Maisha yasio jali maadili, matumizi mabaya ya pesa na kumsahau Mungu kunawa angamiza sana vijana. haya tunayaona kwa ray c na wanamuziki wengine lakini je unajuwa wanakuja wengi nyuma yake wenye hali mbaya kama hii?Habari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]
Well said mkuuMaisha yasio jail maadili, matumizi mabaya ya pesa na kumsahau Mungu kunawa waangamiza sana vijana. haya tunayaona kwa ay c na wanamuziki wengine lakini je unajuwa wanakuja wengi nyuma yake wenye hali mbaya kamahi?
Ndugu mtanzania simama kuwaambia wasanii pesa walio nayo leo kesho hawana nijuku lao kuiona kesho kuliko leo.mtu kama diamond ukimwambia ipo siku atakuwa hana kitu atakutukana mpaka asubuhi lakini at the same time anakula ujana na mke wa milionea wa Uganda. HUU NI ZAIDI YA UCHIZI NAKAMA NIKULOGWA BASI ALIO WALOGHA WANAMUZIKI WETU AMEKWISHA KUFA HIVYO TUSUBIRIE MAJANGA
Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.Hasemi kweli, anahudhuria tiba M-nyamala then anasogea pale A kula chakula cha Nyoka na masela! Katiza M-nyamala A kati ya saa 4-6, weekdays hutamkosa na mateja wenzie wanapona!
We don't discuss people, we discuss money. sasa tuna mda wa kutosha kufuatilia pesa, sababu kuna watu wanafuatilia maisha yetuHey men of Dar-es-salaa at your level best come here there is a discussion about RAY-C's life