RAY C welcome back..uwafunike akina Recho

Sparkle boy

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
75
Reaction score
8
Jamani huyu dada nampenda sana,her fantastic music,swagg but not how she behave.After she posted her pics on inst. i was like thanx God she is back,aliacha mashabiki wengi mno welcome back..tumuombee zaidi..
 
tumuombee kwa nani?
 
Hata kama amerudi unadhani mziki wa sasa atauweza tena?
Hiyo ndo finito tena. Akae bench atafute shughuli mbadala.
Umri ushaenda atafute watoto alee.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata kama amerudi unadhani mziki wa sasa atauweza tena?
Hiyo ndo finito tena. Akae bench atafute shughuli mbadala.
Umri ushaenda atafute watoto alee.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwani yeye na Hadija kopa nani Juve?
Hana umri wowote wa kusema aache kuimba.
kama kweli ana kipaji aje apambane
 
Lakini watanzania ni watu wazuri,bora atoe hata single mbili tu,tumchangie apate kiinua mgongo.

Nanga ishatua ile sheikh...
Hakuna jipya atakalolifikisha kwa hadhira ya Muziki.
 
Ray C ameshaacha kula zile masogange kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…