Ray C.

Ray C.

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Wana jf naomba kufahamishwa kama msanii Ray C ana undugu na Betty Mkwasa.Yoyote mwenye kujua ukweli kuhusu hilo atujuze.
 
Ninavyoelewa Rehama Chalamila na Betty Chalamila wamechangia baba.
 
Waulize wenyewe utapata jibu la uhakika.
 
Yeah ni ndugu. :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Yaani! we acha tuu!

Ameanzisha thread nyingine anauliza kabila la Jenniphar Mgendi!!!
Nilitaka kufungua thread hiyo lakini nikasema ngoja baadae kidogo nitaifungua, sasa kumbe staili yake ndiyo kama hii? Shida kweli kweli.
 
dah!kwanini nimesoma mpaka posts zote?.....I feel like I just jacked off and wasted a nut!
 
Mods wawe wanaondoa threads sisizo na mashiko. Great thinkers tunaelekea kukosa mwelekeo!
 
We ni mganga wa kienyeji????!! Bwanamdogo ukiona umepost tread halafu wachangia zaidi ya watatu wanakuponda wewe, kuwa msomaji tu ukikua jiunge kwa majaribio tena!!
 
kuuliza sio ujinga na ndio maan kauliza kwenye post ya celebreties mpe jibu
 
Ina maana Mzee Chalamila ni CHADEMA siyo?

Maana naona ali-TWANGA KOTE KOTE, te te teteeee....... He enjoyed.
 
Back
Top Bottom