warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo , Vincent Kigosi ' Ray ' , na Salum Mchoma ' Chiki ' , wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana maneno.
Staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ' Ray' . Tifu hilo lilitokea wikiendi iliyopita , Lamada Hotel – Ilala , Dar ambapo Chiki alimshukia Ray akidai kuwa (Ray ) haungi mkono uongozi wa Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity , Steven Mengere ' Nyerere ' ndiyo maana alikacha sherehe yake hivi karibuni .
Maneno ya Chiki yalimchoma Ray ambaye alionekana dhahiri kupaniki lakini akajibu mapigo: "Siwezi kuacha kazi location ili niwahi sherehe , huo ndiyo utaratibu wangu, hata hapa ( kwenye birthday ya Dk . Cheni ) nimekuja kwa sababu sina kazi yoyote inayoendelea .