Ray hatimaye apata mke!

HATIMAE THE GREATEST APATA JIKO


Baada ya mianjo ya muda mrefu nimeuanza mwaka wa 2011 kwa kuweka mtoto ndani lakini kwa siri mno.Ujana una muda wake na una mwisho wake lakini kwa sasa nimeamua kuweka mambo yote pembeni na kuamua kutulia kwa mmoja tu Bi Ramla.Huu ndio mwanzo kwa mwaka huu 2011 na kuna mambo mengi nitawashangaza watu si kuweka kitu ndani tuu,Na huu ndio mwanzo wa GREATEST kwa mwaka huu 2011

Mtakuwa mnashangaa kwa mavazi haya imekuwaje tena,Ndio hivyo tena mambo ya kupenda

Huyu ndie mke wangu kwa sasa,Bi Ramla

Katika picha ya pozi

Nikiwa na wife

Tukibadilishana mawazo na wife

Tukielekezana kitu

Natembea na bakola mambo ya pwani hayo
 

Chipukizi upoooo? Haya kamsomee hiyo itikaf yako sijui. Naona ukiisoma wewe atakuwa chizi kabisa!
 
Nilidhani Ray ana tatizo la kuongea "R" ila kuandika anaandika sawasawa kumbe tofauti kabisa.
Natembea na bakola mambo ya pwani hayo
 
mmmh i knw ziz chik bana ni muigizaji pia!bongo muvie hiyo!
 
Naingoja kwa hamu san amovie hiyo...nikumbushe inaitwaje vile?
 

Ebwana we! wacha kufru zako hizo. Unajua hakuna mtu mbaya mpaka mwishi, cha msingi tuombe mwisho mwema tu. Mitusi uliyomporomoshea Ray ni makubwa mno. Na tuone content za movie ndio tuje na matusi, ila hizi scenes pekee hazionyeshe chochote.

Mwisho wa siku muombee Mungu na si kumkashifu kwa kumtukana. Ahsante.

Shkh Yahya.
 

Toka nizaliwe sijawahi kukutana na kumuona pimbi kama huyu jamaa....kabla hajatoka alishawahi kumuazima mtu koti pale mori akauzie sura kuja kutahamaki hamadi! koti likawa limeliwa na panya....palichimbika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…