hamnazo kivip sasa..ile c kama movie tu waliact pamoja sasa kumpa faida kama zawad mweznie kuna ubaya gan
hiyo movie ya ray j na kim iko kweli nipeni link nicheki wana jf
Haya bana ampe tu au atutumie huku bongo ili hawa dengue washughulikiw
Clip kama hiyo hamuwezi kuiona. Wameizuia kwenye mitandao. Halafu pamoja na kukesha kote jf, mnaulizia kí clip cha kim na ray j!!! 😕 Basi mitandao hamuijui, ni watu wa kuja nyie, shobo nyingi.
Kwani mi nimeiomba au umependa tu kuniquote"""""
Haya bana ampe tu au atutumie huku bongo ili hawa dengue washughulikiw