Ray J atishia kuanika picha za ngono alizopiga na Hayati Whitney Houston

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054

FAMILIA ya hayati Whitney Houston imemwomba mwanamuziki, Ray J, asitoe mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha na Whitney baada ya habari za kutaka kutolewa mkanda huo kuzagaa.

Haijathibitika kama kweli Ray J aliwahi kupiga picha za ngono akiwa na Whitney, ila tetesi zimeenea kuwa mkanda huo upo ndiyo maana familia ikampigia simu kumuomba asifanye kitendo hicho.

Ndugu wa karibu wa Whitney amemwambia Ray J huu ni wakati wa kumpumzisha mwanamuziki huyo, ambaye wakati wa uhai wake alipata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kutumia dawa za kulevya.

Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Ray J kutoa mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha, mwaka 2007 alitoa mkanda wa ngono kati yake na staa Kim Kardashian.

source:wajanja club blog​
 
kumbe ndo zake huyu dogo enheee anataka kumkim kadashian
 
ndo njia yake pekee iliyobaki ya kumaintain umaarufu coz mziki ushamshinda
 
Nipe source yako otherwise hii ni habari yako because Ray J amekanusha kuwa na picha au mikanda yoyote.Magazeti yamuache marehemu apumzike kwa amani.
 
FAMILIA ya hayati Whitney Houston imemwomba mwanamuziki, Ray J, asitoe mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha na Whitney baada ya habari za kutaka kutolewa mkanda huo kuzagaa.

Haijathibitika kama kweli Ray J aliwahi kupiga picha za ngono akiwa na Whitney, ila tetesi zimeenea kuwa mkanda huo upo ndiyo maana familia ikampigia simu kumuomba asifanye kitendo hicho.

Ndugu wa karibu wa Whitney amemwambia Ray J huu ni wakati wa kumpumzisha mwanamuziki huyo, ambaye wakati wa uhai wake alipata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kutumia dawa za kulevya.

Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Ray J kutoa mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha, mwaka 2007 alitoa mkanda wa ngono kati yake na staa Kim Kardashian.

source:wajanja club blog​

Shida zao tu hizo; hivi huku afrika tuache mambo yetu tudil na wao - maana 70% ya waafrika watauliza..kina nani hao kwani
 
Back
Top Bottom