Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
hadi uzee huu maana age ya ray ni around 40Anaishi kwa mama ake (kwao)
Eeeh hela za movie zote ananunua mkorogo ha ha ha according to nay wa mitegohadi uzee huu maana age ya ray ni around 40
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "Joshua? Ushapiga pasi GARI...!!!"Akitoka huko apange sasa
kuna tatizo kuishi na mama yako, kama yuko peke yake nyumba nzima??? KUKUA HAIMAANISHI UMKIMBIE MAMA, UMRI WA MAMA RAY SI WAKUWACHA PEKE YAKE, LABDA MUMSHAURI AOE ILI MAMA APAE MWENZAKE WAKUMSAIDIA, NYIE NDO WALE MAMA ZENU WAKIZEEKA MNA WARUDISHA KIJIJINI ILI MKAPANGE, Ray anakaa na mama yake lakini yeye ndio anaelisha na kulipa bills zote kuna tatizo gani au tofauti gani na kupanga?? kuonyesha kama anao uwezo wa kupanga alishampangia yule demu wake na anakaa huko na yeye anakaa na mama yake na anaenda kwa demu ake wiki siku 2 au 3 n.k...NINA UHAKIKA ITAKUWA HIVYO, Wamama wengine wagumu hawataki kabsaa kukaa mbali na watoto wao. MUACHENI HAYO NI MAISHA YAKE BINAFSI LA MSINGI NI KAZI ZAKE.Anaishi kwa mama ake (kwao)
hahaha atakuwa anamaendeleo duni sana akitoa buku 2 za sukari robo ya magu bhaaaaaaaaaaaas hihihihianashindana kupakaza mkorogo na mamakeEeeh hela za movie zote ananunua mkorogo ha ha ha according to nay wa mitego
Ray yeye anadai mama ake ndo anamkatalia, hataki ahame nyumbani
Duh sipati picha na umri huo asubuhi anaamka kitaulo kiunoni, mswaki mdomoni anakatiza mbele ya mama ake
Nkuulize, diamond hakai na mama ake????kuna tatizo kuishi na mama yako, kama yuko peke yake nyumba nzima??? KUKUA HAIMAANISHI UMKIMBIE MAMA, UMRI WA MAMA RAY SI WAKUWACHA PEKE YAKE, LABDA MUMSHAURI AOE ILI MAMA APAE MWENZAKE WAKUMSAIDIA, NYIE NDO WALE MAMA ZENU WAKIZEEKA MNA WARUDISHA KIJIJINI ILI MKAPANGE, Ray anakaa na mama yake lakini yeye ndio anaelisha na kulipa bills zote kuna tatizo gani au tofauti gani na kupanga?? kuonyesha kama anao uwezo wa kupanga alishampangia yule demu wake na anakaa huko na yeye anakaa na mama yake na anaenda kwa demu ake wiki siku 2 au 3 n.k...NINA UHAKIKA ITAKUWA HIVYO, Wamama wengine wagumu hawataki kabsaa kukaa mbali na watoto wao. MUACHENI HAYO NI MAISHA YAKE BINAFSI LA MSINGI NI KAZI ZAKE.
Ha ha ha ha ha ndo kinachomkuta rayUshawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "Joshua? Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
Hadi awe ananunua hiyo sukari sasa, inawezekana pia sukari ananunua mama tehhahaha atakuwa anamaendeleo duni sana akitoa buku 2 za sukari robo ya magu bhaaaaaaaaaaaas hihihihianashindana kupakaza mkorogo na mamake
Tofauti ya diamond ana kipato kikubwa kuliko RAY, Kumbuka wasanii wa bongo movie wanajiweka tu life flani kubwa lakini hawana kitu, Unakumbuka alipokufa kanumba? Je? aliacha hata kiwanja? NI HAYO HAYO MAJUMBA YA KUPANGA NA KIJIGARI, Sasa ni bora yeye Ray kile kidogo anachopata anaamua ajenge chake ina maana akihama kutoka kwa mama yake anahamia kwenye nyumba yake. SINA UHAKIKA HAPO ANAPOKAA NA MAMA YAKE NI NYUMBA YAO AU WAMEPANGA, Lakini anaishi kiuhalisia, hana uwezo wakupangisha majumba mawili mawili mama kwake, yeye kwake, kodi 2 hizo ni BORA TUMSHAURI AJENGE. Na sio kumuhama mama, KUMFANANISHA RAY NA DIAMOND UNAFANANISHA KIFO NA USINGIZI. Hata diamond aliishi na mama yake nyumba moja ya kupanga sinza, akawa anajenga yake ilipokamilika akahama nae mama yake na baada ya hapo akaijenga ya familia ndio akampeleka mama yake kwenye nyumba ya familia Tandale nakubaki mwenyewe Madale, SASA HUONI HAPO NI PESA NA MIPANGO, Ray ana hela gani? huyo diamond mwenye hela hakuthubutu kupangisha nyumba 2 akahama kwa mama au kuishi peke yake mpaka kajenga....KUMKIMBIA MAMA SIO KUONA MAISHA MSHAURINI AJENGE N.K. SIO UFAHARI WA KUPANGISHA MAJUMBA MAKUBWA YA MAGETI SIKU WAKIFA AIBU.Nkuulize, diamond hakai na mama ake????
Tofauti yake na ray unaiona????? Nijibu kwanza
Kwamba ray hana hela? Miaka yooote anaigiza anauza movie hana hela makubwa haya aache kuigiza sasa akacheze soka ....Tofauti ya diamond ana kipato kikubwa kuliko RAY, Kumbuka wasanii wa bongo movie wanajiweka tu life flani kubwa lakini hawana kitu, Unakumbuka alipokufa kanumba? Je? aliacha hata kiwanja? NI HAYO HAYO MAJUMBA YA KUPANGA NA KIJIGARI, Sasa ni bora yeye Ray kile kidogo anachopata anaamua ajenge chake ina maana akihama kutoka kwa mama yake anahamia kwenye nyumba yake. SINA UHAKIKA HAPO ANAPOKAA NA MAMA YAKE NI NYUMBA YAO AU WAMEPANGA, Lakini anaishi kiuhalisia, hana uwezo wakupangisha majumba mawili mawili mama kwake, yeye kwake, kodi 2 hizo ni BORA TUMSHAURI AJENGE. Na sio kumuhama mama, KUMFANANISHA RAY NA DIAMOND UNAFANANISHA KIFO NA USINGIZI. Hata diamond aliishi na mama yake nyumba moja ya kupanga sinza, akawa anajenga yake ilipokamilika akahama nae mama yake na baada ya hapo akaijenga ya familia ndio akampeleka mama yake kwenye nyumba ya familia Tandale nakubaki mwenyewe Madale, SASA HUONI HAPO NI PESA NA MIPANGO, Ray ana hela gani? huyo diamond mwenye hela hakuthubutu kupangisha nyumba 2 akahama kwa mama au kuishi peke yake mpaka kajenga....KUMKIMBIA MAMA SIO KUONA MAISHA MSHAURINI AJENGE N.K. SIO UFAHARI WA KUPANGISHA MAJUMBA MAKUBWA YA MAGETI SIKU WAKIFA AIBU.
YEAH RAY HANA HELA!! Nimejibu kulingana na mfano ulonipa wa DIAMOND, Ray mbele ya Diamond hana hela kabsaaa, Na kama unadhani zile movie zinawalipa pole sana. chunguza ongea na wasanii, fatilia wanacholilia serikalini, NITAJIE MSANII MMOJA BONGO MOVIE ALIETOKA SABAB YA MOVIE AU ALIEJENGA NA KUFANYA MAKUBWA KAMA DIAMOND KWASABAB YA MOVIE 90% ni msoto wasichana ndio mnawaona wanaonyesha mijengo ila si unajua wadada baadhi yao ambao ni wengi style zao za kuwezeshwa, kujengewa, kupangishiwa na kununuliwa magari. RAY ANAKAA NA MAMA YAKE LAKINI YEYE NDIO KILA KITU, MAMA YAKE HANA MTU MJINI AMUACHE JUMBA ZIMA PEKE YAKE ATI KISA WATU WANATAKA AKAE PEKE YAKE KWENYE NYUMBA YA KUPANGA, DUH! Ushauri gani huu.Kwamba ray hana hela? Miaka yooote anaigiza anauza movie hana hela makubwa haya aache kuigiza sasa akacheze soka ....
Kuhama nyumbani haimaanishi kumuacha mama i
Mtu kama ray kuishi kwao hadi leo ni kushindwa kujielewa na kukwepa majukumu na udumavu wa akili period, kipato sio ishu wala
Hebu slow down.....YEAH RAY HANA HELA!! Nimejibu kulingana na mfano ulonipa wa DIAMOND, Ray mbele ya Diamond hana hela kabsaaa, Na kama unadhani zile movie zinawalipa pole sana. chunguza ongea na wasanii, fatilia wanacholilia serikalini, NITAJIE MSANII MMOJA BONGO MOVIE ALIETOKA SABAB YA MOVIE AU ALIEJENGA NA KUFANYA MAKUBWA KAMA DIAMOND KWASABAB YA MOVIE 90% ni msoto wasichana ndio mnawaona wanaonyesha mijengo ila si unajua wadada baadhi yao ambao ni wengi style zao za kuwezeshwa, kujengewa, kupangishiwa na kununuliwa magari. RAY ANAKAA NA MAMA YAKE LAKINI YEYE NDIO KILA KITU, MAMA YAKE HANA MTU MJINI AMUACHE JUMBA ZIMA PEKE YAKE ATI KISA WATU WANATAKA AKAE PEKE YAKE KWENYE NYUMBA YA KUPANGA, DUH! Ushauri gani huu.
Naifuatilia kwa rula ligi hiiHebu slow down.....
Ray ndo kila kitu, Ray hana hela hilo jumba unalolisema limejengwa na nani? As la kupanga pia?
Na unamaanisha kwakua ray hana kipato basi azeekee japo kwao
Tusio na hela za kujenga tuotee mvi majumbani kwetu
CHINEKEEEEEE I can't get the photo ray anatoka honeymoon na mkewe life lina kuja kuanza nyumbani kwao a ha ha ha ha ha ha tunatofautiana asee mnooo
Celebrities forum, unataka tuongee nini???Watu wanapoteza muda arguing ray anaishi wapi na nani ??
WHAT A LOSS !!
Its ok to know about his where abouts but making him like the main topic of the day is kynda ridiculous. Tehe
Ha ha ha ray mcongo hela yote ananunua mkorogo lolNaifuatilia kwa rula ligi hii
Tatzo linakuja pale unafanya his business ur main priority.Celebrities forum, unataka tuongee nini???
Hata ww kuja kusoma hapa ni wale wale