Ray Kigosi alamba shavu Rwanda

Huyu bwana ni hazina kubwa kwa Taifa baada ya kugundua kuwa kunywa maji mengi kumbe kunaongeza weupe wa mtu,naona sasa dada zetu wamepunguza sana kutumia mikorogo wako busy na kunywa maji kwa wingi.,big up Ray
 
Sasa anaiwakilisha Tanzania au kaenda kufanyakazi zake tu? Huu ujiko mwingine bana, basi Kama ndio hivyo wabeba box nje ya nchi na Wao wanaiwakilisha Tanzania
 
Huyu bwana ni hazina kubwa kwa Taifa baada ya kugundua kuwa kunywa maji mengi kumbe kunaongeza weupe wa mtu,naona sasa dada zetu wamepunguza sana kutumia mikorogo wako busy na kunywa maji kwa wingi.,big up Ray
Nadhani sanamu yake iwekwe pale maeneo ya posta badala ya Askari monument iwe Ray Kigosi the Bleacher's Monument
 
huyo jamaaa akifungwa jera na maji hana atababuka sura
 
Duuuh, hii scene itabidi uifanyie Movie mzee, mana imenichekesha sana ..!!

Wasanii tunao wengi, tatizo wanyaRwanda hawana namba zako, kwa mfano huu huenda hii nafas ya Ray ungepewa wewe ..!!!!!
 
Evelyn Salt post: 16216445 said:
Anaishi kwa mama ake (kwao)

Kwa hiyo ulitaka aishe kwenu!? Au mtu kuishi kwao siku hizi imekuwa ni kosa!?
 
Watu wanapoteza muda arguing ray anaishi wapi na nani ??

WHAT A LOSS !!

Its ok to know about his where abouts but making him like the main topic of the day is kynda ridiculous. Tehe
A very big loss man. Si ajabu hata muziki umegeuka kituko. Eti msanii anaponda msanii mwenzake kuishi kwao. Na ndio mashairi ya wimbo hayo!?
 
Duuuh, hii scene itabidi uifanyie Movie mzee, mana imenichekesha sana ..!!

Wasanii tunao wengi, tatizo wanyaRwanda hawana namba zako, kwa mfano huu huenda hii nafas ya Ray ungepewa wewe ..!!!!!
water me drink not enough, no exercise no white colour
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…