Ray Kigosi awatolea povu watanzania, kisa unafiki wao

Mtu mwenye akili hawezi kuangalia uchafu wao

Ova
 
Eti kisa kila muvi anapojifanya kachukia akigeuziwa kibao mara moja kachuchumaa kuomba msamaha...
 
ray piga kazi acha kulia lia mkubwa
kanumba alikua ngwiji kwenye hii industry
nyie mnauza tu surabna kuanza kuponda ila hamna lolote ,mnasikitisha sana hamuwezi kujisimamia na kujiamin mmebaki kulialia tu na kufuata upepo
Jibu hoja
 
Mbona huelewi wewe... bongo movie ipi unaiongelea ????!!!!

Pamoja na povu lote mnalotoa lakini ukweli utabaki pale pale...

KANUMBA AMEONDOKA NA BONGO MOVIE YAKE...
Hakuna ukweli wowote kanumba hakucheza movie peke yake
 
Kwa sasa hakuna kitu tusiwe tunapindisha maneno, sio wote ambao hatukumuunga mkono Kanumba wale wachache waliosema ivo ndio amewajumuisha ila kiukweli Kanumba alikuwa bora sana tena sana
Mbona na yeye aliiga movie za kinigeria kwa mfano dangerous desire n.k
 
acha kutafuta huruma , kaza msuri watu wataitikia , shida kubwa nyingine nayoiona kwenu ni KUTEKWA NA WANASIASA. HAPO MNASHINDWA KUJITAMBUA MATOKEO YAKE MNAKERA MASHABIKI WENU HATIMAYE WANAWAKIMBIA. KUWENI NA MSIMAMO SIASA WAACHIENI WENYEWE SIO KUTUMIKA KWA MUDA MFUPI KWA MASLAHI YAO , KISHA WANAAACHIA MADONDA YANAYOCHELEWA KUPONA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…