King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
He didnt go to school as much as u, its not fair to hiss him. His acquisitive should be encouraged, English is equidistant to education. Sasa akae kimya au aache kabisa kuigiza, sio jambo la kucheka.
Kama ni hivyo hana haja ya kutumia lugha ambayo haijui! Mbona Mondi hajakwenda shule lakini anabomoka umombo wa ukweli?
Teh Teh kwakweli Mwl napinga kabisa Nuhu ni mtupu sana...hakika umenifanya nimkumbuka ex wake alisema " i love is my country "Ray na nuhu mziwanda hawana tofauti...
Teh Teh kwakweli Mwl napinga kabisa Nuhu ni mtupu sana...hakika umenifanya nimkumbuka ex wake alisema " i love is my country "
Hivi umejaribu kufikiri ni jinsi gani watoto wa shilole wanateseka kwa kukosa wa kucheza nao?
Teh Teh hii ya my gelo friend niliishuhudia kwakweli nilicheka sana ..sijui wanafanya kusudi?I love is my country na I am so wonders wote sawa tu ha ha ha
na kuna siku alisema anamshukuru " my gelo friend" ungesikia ungecheka
si bora kuongea kiswahili tu
Yani nlicheka mie ha ha ha sio makusudi mbwembwe za kuongea kizungu wakati hakipandi yani nlicheka mimtu ya miaka 40 huko eti inaitana gelo na boy friendTeh Teh hii ya my gelo friend niliishuhudia kwakweli nilicheka sana ..sijui wanafanya kusudi?
Hadi leo huwa siamini kama kweli alikuwa serious kabisa...teh teh eti gelo friend..Yani nlicheka mie ha ha ha sio makusudi mbwembwe za kuongea kizungu wakati hakipandi yani nlicheka mimtu ya miaka 40 huko eti inaitana gelo na boy friend