King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #21
Lugha ya malkia inawapa mshawasha si wasome Tuition
Aongee kiswahili tena fasaha kinachowakilisha, hizo ngonjera zake hakika ni jambo la kucheka na kudhihakiwa!He didnt go to school as much as u, its not fair to hiss him. His acquisitive should be encouraged, English is equidistant to education. Sasa akae kimya au aache kabisa kuigiza, sio jambo la kucheka.
Hajui kiingereza ila ana maisha mazuri karibia mara 3 ya wanaomcheka.. Thats life...
Nnachoshangaa ni hiki kitu, mbona mastaa wakubwa Duniani hawajui ngeli na wala sio habari, mfano mzuri Lionel messi mchezaji bora mara nne wa mchezo unaopendwa zaidi duniani, hazungumzi kiingereza hata Ray anampita ila, ina ana utajiri wa zaidi bilioni 200 za kibongo, sio msomi na wala haiwezi kuwa habari kule kwao argentina eti messi hajui english... Haipo hiyo..
Ila kwetu tunajua kabisa wasanii wetu english siyo lugha yao ya kwanza, na wengi hawajapata nafasi ya kujifunza lugha hiyo ila anapokosea kitu tunabreak the internet,,, hataree

Kama hajui aongee kiswahili kwani lazima aongee chiingeredha?
Watu wana Ile dhana ukiongea kiingereza basi wewe ni msomi....so kila mtu anajitutumua ili mradi aonekane kasoma.
Kama ni hivyo hana haja ya kutumia lugha ambayo haijui! Mbona Mondi hajakwenda shule lakini anabomoka umombo wa ukweli?
Ata sub headings nyingi ktk movie zake ni makorokocho matupu
I love is my country na I am so wonders wote sawa tu ha ha ha
na kuna siku alisema anamshukuru " my gelo friend" ungesikia ungecheka
si bora kuongea kiswahili tu
Hivi kwani huyu jamaa anajua kuigiza?
He didnt go to school as much as u, its not fair to hiss him. His acquisitive should be encouraged, English is equidistant to education. Sasa akae kimya au aache kabisa kuigiza, sio jambo la kucheka.
Ray kaishia form two.
Huwa nawashangaa sana watu wanaohangaika kutazama maigizo ya kitanzania 'bongo movies'...
Huo muda wa kukaa na kutazama hayo maruerue ni bora niutumie kwenda kuhonga mdudu...
Bongo Movies ishatoweka chief.