Ray mambo vipi?

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,318
Reaction score
404
Za muda mrefu bwana mambo yanasemaje?Maisha yanasonga mbele vipi JB anaweza akakusumbua kwenye soko.Au utakomaa naye tehe tehe.Oh pole sana kwa msiba bwana nasikia mmefiwa.Ni hayo tu kaka wape pole wote huko.
 
mh!pana usalama hapa kweli? nasikia harufu ya udondozi...
 
Ray kajaa tele kama pishi la mchele nenda kwenye msiba wa swahiba wake uone alivyotupia bling bling.

"Ujue mie na kanumba tumetoka mbali na tulikua tunashindana sana lakini ni wivu wa maendeleo,kwa mfano mimi nilinunua Lexus V8 na kunumba naye akanunua,Kanumba kanunua harrier na mie nikanunua hata viwanja wote tumenunua sehemu moja mbezi mpiji na tulipanga tujenge nyumba sawa" Ray aliyasema hayo wakati akichezesha taya na mtangazaji wa clouds Regina mwalekwa.
 
Inasemekana aliwahi Muhi2 haa kabla Kaumba hajafa?
 
tulipanga tujenge nyumba sawa" Ray aliyasema hayo wakati akichezesha taya na mtangazaji wa clouds Regina mwalekwa.[/QUOTE]anamaanisha wataenda kuishi wote kwenye Nyumba ya mwenzake ya milele??? kweli unafiki na uzandiki.......
 
tulipanga tujenge nyumba sawa" Ray aliyasema hayo wakati akichezesha taya na mtangazaji wa clouds Regina mwalekwa.
anamaanisha wataenda kuishi wote kwenye Nyumba ya mwenzake ya milele??? kweli unafiki na uzandiki.......[/QUOTE]


Ngoja mzinga apate majibu kutoka kwa ray!
 
huwa simwoni kama actor wa maana zaidi ya kupiga makelele kwenye muvi zake
 
wanaomchukia Ray watakuwa wanampenda ila wanachukia kwa nini wanampenda...
 
Mbona mnamsakama sana ray lakini jueni hata yeye ni msanii mkubwa na anapendwa sana...na bado utazidi kuchanja mbuga kwa saaana..
 
Watanzania ni wanafiki sana, nimelijua na nimelithibitisha hilo kwenye msiba wa Kanumba. Wengi humu ndani walikuwa wanazisaga sana filamu zake, lakini leo hii wanamtaja kuwa ni hero!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…