Ray na Batuli wakwaruzana mtandaoni kwa madai ya utapeli

ukiona mwanaume umeanza kujichubua jua unakasoro kubwa sana.
Mie jaman Rey ananikeraga sana kwa sauti yake ya kuigizia jaman ni mbaya acha tu yaani anaonekanaga kabisaa kwamba ni maigizo
 
ukiona mwanaume umeanza kujichubua jua unakasoro kubwa sana.
Mie jaman Rey ananikeraga sana kwa sauti yake ya kuigizia jaman ni mbaya acha tu yaani anaonekanaga kabisaa kwamba ni maigizo
Sometimes anajitahidi kuchekesha basi ndo anakuwa kituko zaidi
 
Sometimes anajitahidi kuchekesha basi ndo anakuwa kituko zaidi
hivi huwaga huku kwetu hakuna watu wanaowamoderate kwanza?
mie huwaga sielewi kwann hanaga hisia za kikweli yaan yy kila kitu kwake ni fake hadi ngozi yake ni fake
 
Law of contract inahusika atuombe ushauri kama huuelewi pa kuanzia ila media ni kiki tuu Kama sio kupandishana na kushushana.
Ye anadhani huruma ya raia itamsaidia labda...Mi nadhani njia nzuri ni kufwata utaratibu ili upate haki yako zen baadae kama utataka kumuanika tapeli hadharani watu wamjue unaweza kufanya hivyo
 
hivi huwaga huku kwetu hakuna watu wanaowamoderate kwanza?
mie huwaga sielewi kwann hanaga hisia za kikweli yaan yy kila kitu kwake ni fake hadi ngozi yake ni fake
Sasa yeye ndo Director,script writter,producer na main actor..Utamwambia nn akusikilize
 
Sasa yeye ndo Director,script writter,producer na main actor..Utamwambia nn akusikilize
hatukatai mtu kuwa multi disciplined, but you can be it in the same field.
like uwe mwl unafundisha masomo yote wewe mwenyewe?

multidiscipline ina involve different fields, like ni muigizaj lkn ni manya biashara, ama ni mwalimu, ama hata ni mhasibu lkn kwenye field moja uwe wewe ndo kila kitu, huo ni uongo
 
Sugu toka ajichubue namfananisha na kinadada...
 
Hilo ndo moja ya tatizo kwenye tasnia yetu ya maigizo..Mtu mmoja anataka kufanya kila kitu yeye..Halafu sometimes unakuta movie imebeba mastaa wakubwa kibao lakini still kuna makosa madogo madogo mengi tu..Mtu unajiuliza hivi uwa hawakosoani wakiwa huko location?..Au level yao ya kufikiri inafanana
 
ujinga ndio sababisho na hatukubal kwamba ni wajinga so tujifunze
 
Baada ya movie zao kutofanya vizuri naona wanatafuta mwany mwingine..wakajitume kama homecoming, hakutokuwa na sababu yakutengeneza kick tricks zisizo na maana...sorry kwanza batuli yukoje?
 
hivi ray mzima kweli,kumbe kanumba ndio alikua anampandisha chati,alivyojikoboa sasa wanashindana na hawara yake kujikoboa,kaitwa na nani kibamia?
Ina mana huyo Mzee ray hajaoa hadi sasa? kwa hiyo anajiona kijana
 
Mi huo ugomv stak hata kujihusisha nao ila haka kabatuli kazur...
 
ukiona mwanaume umeanza kujichubua jua unakasoro kubwa sana.
Mie jaman Rey ananikeraga sana kwa sauti yake ya kuigizia jaman ni mbaya acha tu yaani anaonekanaga kabisaa kwamba ni maigizo
Ana matusi sana kwenye movie zake...
 
Ye anadhani huruma ya raia itamsaidia labda...Mi nadhani njia nzuri ni kufwata utaratibu ili upate haki yako zen baadae kama utataka kumuanika tapeli hadharani watu wamjue unaweza kufanya hivyo
Hao waswahili wa pemba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…