ray........NEW LOOK

haa haaa basi ukisikia watu walioruka stage ndio hawa. yaani uzee unajongea ye ndio anakumbuka kufanya mabo ya kitoto?

halafu huyu leo ni mtu mzima sana......wa siku nyingi jamani enzi zile nakua kua

leo anataka kwend sambamba na kina daimond
 
hata kuoa hawataki wanafanya ujinga kama huu mi mabongomuvi yao ptuuuu sinunui wala siangalii walai
 
halafu huyu leo ni mtu mzima sana......wa siku nyingi jamani enzi zile nakua kua

leo anataka kwend sambamba na kina daimond
nakumbuka nimeanza kumwona nikiwa darasa la pili hadi leo nipo kazini baada ya chuo kikuu mtu habadiliki ndo maana nikasema bina mtoto wangu usanii marfuku akomae na skuli ikimshinda nampa biashara
 
si nimekwambia naenda kulala jamani...........we wazidi kuniita

ni wa siku nyingi huyoooo sa hivi alitakiwa awe na wajukuu hata 6 tu
 
nimesikia kinyaa pesa apo ndo inapokuwa mbaya dah
 
halafu huyu leo ni mtu mzima sana......wa siku nyingi jamani enzi zile nakua kua

leo anataka kwend sambamba na kina daimond
hivi kwani hawa wanaojiita wasanii wanakuwa wapotoshaji wakubwa wa maadili ya jamii?kuoa hawataki kazi kubadili tu wanawake, walioa kila siku wanadivorve. nimetoka kusikia clouds tv bob junior eti anajisifia kaachana na mke wake, yaani hadi nimeshangaa, huu usaniii hovyo kabisa
 
m....a..t..a..k...o matupu yani napandwa na jazba kila nikiwaona aseee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…