ray........NEW LOOK

Apo ndo wanasemaa ni mchana kwa vijana lakini kwake ni alasiri jioni ? Game is over apo kwakee ajipangee alichovunaa kwa tansinia ya filamuu ajengee family tu maana mmh ni panchaa umoo kaah?
 
We Ray wewe mbona umekuwa mbaya hivyo? Na hayo matatoo kama jambazi na sura ya kishoga, umeniboa mwenzio
 
Hapa naona mnamchamba huyu bwana kaka kisa tu kachora tatoo.... Jamani hizi mambo mengne ni photo labs na non-permanent tatoos... Hizi tatoo sio za muda mrefu naona Ray alitaka kuwapa watu maneno ya kuongea tu.... Hayo tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Apo ndo wanasemaa ni mchana kwa vijana lakini kwake ni alasiri jioni ? Game is over apo kwakee ajipangee alichovunaa kwa tansinia ya filamuu ajengee family tu maana mmh ni panchaa umoo kaah?

amepoteza dira
 
hivi wanasikiaga raha watu wakiwasena eeh
 
aisee hivi huuyu jamaa kaamua kuwa shoga mazima?

huyu ni msanii,huyu ni msanii tena kioo cha jamii...

jamii ya kitanzania. hapo kesha convert zaidi ya vijana 200 wasiokuwa na akili, wale waigaji kama yeye alivyoiga

inawezekana maana mtu mzma namna hiyo kujitoa ufaham kihivyo c bure
 
Apo ndo wanasemaa ni mchana kwa vijana lakini kwake ni alasiri jioni ? Game is over apo kwakee ajipangee alichovunaa kwa tansinia ya filamuu ajengee family tu maana mmh ni panchaa umoo kaah?

inakera walai
 
We Ray wewe mbona umekuwa mbaya hivyo? Na hayo matatoo kama jambazi na sura ya kishoga, umeniboa mwenzio

dada ukimruhusu mpwa wangu aingie kwenye huo uchafu sitakubali walahi
 
Sana tu.... Iweje mtu kila kukicha yupo kweny heading za magazeti afu hukanushi hata moja.....! Wanapenda kusemwa hawa
hivi wanasikiaga raha watu wakiwasena eeh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sana tu.... Iweje mtu kila kukicha yupo kweny heading za magazeti afu hukanushi hata moja.....! Wanapenda kusemwa hawa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

khaa kaz wanayo bas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…