Labda.Huyu kijana anajua, ni muda tu utaamua but namuona diamond mwingine wa miaka mitano ijayo. Kwangu mm Rayvanny na Aslay ndiyo vijana wadogo wanavipaji sana.
Balaa sanaHuyu kijana anajua, ni muda tu utaamua but namuona diamond mwingine wa miaka mitano ijayo. Kwangu mm Rayvanny na Aslay ndiyo vijana wadogo wanavipaji sana.
mbaya kabisa huyu mchizi ana kipaji umeshamuona akirap?Mi naona huyu dogo atakuwa ni moto sana huko siku za mbele.
Yule Dada alikuwa anataka kiki tu. ....hana bikra wala nnBechuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Wengine bado tunafikiria bikira ya chemical nani kaitoa ebooooooooooooo....
Huyu kijana anajua, ni muda tu utaamua but namuona diamond mwingine wa miaka mitano ijayo. Kwangu mm Rayvanny na Aslay ndiyo vijana wadogo wanavipaji sana.