Raymond hayupo kwenye nominations za mwaka huu BET awards. Au ni bando zangu zimeexipaya?

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
4,729
Reaction score
10,500
Nimegugo hizo tuzo za mwaka huu.
Huyu Ray sijamuona sio kwa waliotajwa kushindaniwa wala walioshinda.

Au kuna tuzo nyingine zenye jina BET? Nielewesheni.
 
Ni kweli Raymond hayupo, maana aliyeshinda ni RayVanny. You are right.
 
Nimegugo hizo tuzo za mwaka huu.
Huyu Ray sijamuona sio kwa waliotajwa kushindaniwa wala walioshinda.

Au kuna tuzo nyingine zenye jina BET? Nielewesheni.
ni rayvanny sio raymond
 
Acha Bangi...ni hatari..
 
Nimegugo hizo tuzo za mwaka huu.
Huyu Ray sijamuona sio kwa waliotajwa kushindaniwa wala walioshinda.

Au kuna tuzo nyingine zenye jina BET? Nielewesheni.
Tatizo lako kichwa chako kinaona kuwa "kiba ana sauti nzuri kuliko Mariah kelly" kwa akili kama hiyo HUTOELEWA HATA UKIELEWESHWA NA KUONYESHWA.
 
Nimegugo hizo tuzo za mwaka huu.
Huyu Ray sijamuona sio kwa waliotajwa kushindaniwa wala walioshinda.

Au kuna tuzo nyingine zenye jina BET? Nielewesheni.
Ulitumia Google ipi hadi ukakosa jina la Raymond haidhuru hata kama hukutumia jina la Rayvanny wakati wa ku-search??!!
 
Labda Google wamekufanyia makusudi tu, next time uwape kitu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…