Raymond Mshana wa Wasafi yupo wapi?

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739

Nauliza Raymond Mshana yupo wapi, nilikuwa nakubali Sana uwepo wake pale The Switch Wasafi FM, siku hizi naona makelele tu. Kama yupo kituo chochote cha redio naomba mnifahamishe
 
jamaa mkali sana wa matangazo. Kumbe ameadimika
 
Na hizi ndevu atakuwa kasajiliwa na Hamas.Anyway usikute ww Ndio huyo Jamaa unatushosha tu na maswali wakati unajua kibarua kimeota nyasi
 
........subirini atajibu tu ni star huyo ...mzee wa kitonga khaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…