Raymond WCB: 'Natafuta Kiki' - (Video)

Usilazimishe kutafuta views kwa mtindo huu
Kuna watu humu uelewa ni tofauti anatoka hapa anaanza kupondea video ya MTU kumletea sifa mbaya. Hawa wasanii bado wachanga tuwasapoti na siyo kwa kuanza kuwapa mizigo ya tuhuma zisizo na kivhwa wala miguu.
Video ni nzuri sana kiukweli nanimeipenda sana. Big up sana Raymond
 
Kwani nani kasema video ni mbaya?Hata mimi nimeipenda video isipokuwa sehemu moja tu ambayo wema alikosekana wakalazimika kupachika kipande cha clip kilichorekodiwa kwa simu walichowahi kurekodiwa Ray na Wema!
Kuiga si jambo baya,mimi nimetaka tu muasisi wa style hiyo ajulikane!
 
Ila tatizo kuna kipande wameweka clip iliyorekodiwa kwa simu,kipande kile anachoonekana Ray na Wema!Otherwise video ni nzuri
naona ilikuwa kazi kumpata wema maana kahamia arusha kile kipande wamekifix kuleta uhalisia
 
Mods na ninyi sasa mmekuwa watu hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…