Rayvan ndani ya Tuzo za MTV MAMA 2016

Hongera dogo... yaani siku hizi kama ndoto kuona Watanzania wanazidi kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kabisa Afrika! Tutaacha tu kumuheshimu Chibu lakini kiukweli jamaa kufungua milango ya sanaa ya Tanzania kufahamika nje ya Tanzania kwa mapana na marefu. This means, Tanzania kuna wasanii watatu kwenye tuzo za MTV!!!
 
Watano kaka kuna v mtonyo kiba navy kenzo rayvanny na domo
 
Watano kaka kuna v mtonyo kiba navy kenzo rayvanny na domo
Aisee! Nilisahau kuhusu Navy Kenzo na sikuwa na uhakika kuhusu V Mavumba! Haijawahi kutokea hii... bila shaka sio Tanzania tu bali nchi yoyote ya Afrika Mashariki. I wish siku moja tukasimama together as one.
 
Kuna kitu katika hizi tuzo rich mavoko kuimba kote hajawahi kuwa nominated ila huyu dogo wa juzi tu kapata nomination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…