Rayvann akatazwa kujenga kanisa Mbeya na WCB

Huna hoja, nimekufuatilia ktk threads zako nyingi za nyuma nikagundua you are ANTI-WCB. Unazani hizo habari zako zitaharibu brand, kitendo cha kuwazungumzia kwa ubaya au uzuri hakiwapunguzii kitu WCB sababu ww sio mungu na mchawi si lazima apae na ungo bali hata kauli na matendo yake yatosha kumjua, kilichobaki utafute nyanga, usinga na vibuyu ufungue kilinge chako. Huu upuuzi unaousambaza wa kufitinisha watu kwa maswala ya kidini unaonekana ww ni masikini wa mawazo, ila wenzako wanajenga nyumba sio chuki, wee endelea kufungua hizo threads zako zinazoonyesha ujinga wako.
 
+255 718515171 WhatsApp nitumie fasta na mim nitaziweka hapa.
 
kwani Sadaka lazima aombe ruhusa na kibali cha WCB?

Mathayo 6:3
Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume;
 
Inaweza kuwa tuhuma ni za kweli au uongo ila kujenga kanisa na kujenga msikiti ni vitu viwili tofauti

Kwa wenzetu ukijenga msikiti sio mali yako bali ya wote ila kwa sie wakristo tunajuana vizuri tu ukijenga kanisa ni lako hilo hasa kwa walokole kuanzia sadaka na utawala utaamua mjengaji labda uje ufanyiwe figisufigisu mbelen napo wawezatimua waumini ukabaki na jengo lako
 
Huu ni uzandiki na fitna....

Rich Mavoko tulia fanya kazi....Umetoka WCB kwa hiyari yako
 
Mbona hoja hiyo ni kiroja na haina mantiki,sidhani kama dogo kichwa,mpiganaji,akili kubwa ingawa hajasoma,Dimondi kama anaweza kufanya ujinga huo
 
Hivi ujenzi wa Kanisa unaujua unausikia? labda ungefafanua ndugu, usikute unaongelea hizi nyumba za Manabii, Wachungaji waliozagaa mitaani.

Ishu ya Kanisa hebu watafute KKKT au KATOLIKI usikie huo mtiti wake, alafu ndio ulinganishe na Huyo Dogo Rayvanny.
 
YAAANI pesa ya kwake " then apangiwe matumizi " acha bangi basiii
 
we konyo kwel
 
Machok.o utawajua tu..
 
mbona msikiti wamejenga, mwacheni ajenge kama imani yake ya kikristo.

lakini pia kama baraka zao hazitokani na MUNGU WA KWELI hawawezi kumruhusu
 
duuuh!!
 
Hata waliokuwa wanakuamini hivi sasa wataanza kukupuuza kama sio kukudharau!!!Yaani unaleta propaganda za udini kwenye tasnia ya burudani!!

Mungu nae anajua... kwa akili finyu kama hizi, mtu kama Diamond na Kiba wangekuwa ni dini tofauti basi majinga kama nyinyi mngekuwa mmegawanyika kutokana na dini zao!!!
 
hawa wcb hawako fair kabisa i believe muda utaongea tu. katoka kifesi na mavoko kwa upuuzi huu huu wa kidini ila watu bado hawaamini
Acha udini wewe! Kila mmoja anafahamu Kifesi alikuwa even na WCB hadi siku alipojitia kimbelembele cha kuelezea mahusiano ya bosi wake mitandaoni!!! Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kukosa mahusiano ya bosi wake kupitia Instagram? Hapo anapigwa chini; unataka kuaminisha eti amepigwa chini kwa sababu ni Mkristo!

Shame on you!!!

Btw, unaweza kutaja hapa sababu hasa iliyomfanya Mavoko aondoke? Au source yako ni huyo mdini mwenzako hapo juu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…