Rayvann unatuabisha watanzania

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
RayVanny Anatuabisha Watanzania Jamani! Inakuwaje Msanii Anajisia Kufikisha Views Million 4 ndani ya Siku wakati Yeye Sio Sababu Ya Kufikisha Hao Views? Hata walio Mshirikisha Watashangaa,Au kwasababu Hawajui kingereza

-RayVanny Hiyo Treasure Hujaweka Kwenye Account Yako Ya Youtube! Umeweka Kwa Mwanadada Anaefuatiliwa Sana India ndio maana views Wamefika Hao Kwa muda Mfupi na Waliovew sana ni Wahindi Kwanini Ujisifie? Yule Dada Akiweka Hata Video Ya HarmoRapa Atapata Views Kibao Ndani ya muda mfupi

-Wimbo Umeshirikishwa Kwanini Unasema Wako?

Hata Diamond Nae aliingia Mkenge Kukusifia Kwa Views Wengi Lakini Sio uhalisia

Usiseme Muna Nyumba Nzuri akati Nyumba Ni Ya Mjomba Wako
 
Wimbo umeandikwa "and" na sio "ft" maana yake hajashirikishwa bali wameshirikiana

Hapo unakua wimbo wa wote,kila mmoja kati yao ana haki ya kuita wake.
 
Wa-Tanzania tuelewe kuna tofauti kati ya Collaboration na Featuring.
Hicho hapo ni Collaboration na kwa biashara ya muziki, YouTube ya huyo bi dada ilikuwa ina faida kubwa sana kuliko ya Ray... Maana yake mmoja kati yao angeweza kuiweka kwenye a/c yake lakini faida zaidi ipo wapi ndio maana ya kufanya hivyo.
 
Kusema kwamba mwanadada ndie aliefanya hiyo teaser ifikishe 4.5 m ni kumkosea adabu vanny boy. Nimeangalia youtube channel ya huyo dada hana wimbo hata mmoja aliozidi 5M viewers
Kaangalie tena vizur kuna nyimbo yake ina 1 week ila viewers ni 95M
 
Mleta mada mjanja sana...

Kasema hivyo kusudi, ili ku-attract attention na kumuongezea msanii wake viewers...



Cc: mahondaw
 
Kusema kwamba mwanadada ndie aliefanya hiyo teaser ifikishe 4.5 m ni kumkosea adabu vanny boy. Nimeangalia youtube channel ya huyo dada hana wimbo hata mmoja aliozidi 5M viewers

mkuu tafuta music video za huyu dada kugonga mpaka 100m viewers ni kawaida tu. Ana song ina 0.6B Viewers inaitwa Dilbar. Huwezikuta kwenye channel yake mana mifumo ya Bollywood nyimbo inatolewa na Company inayosimamia kama T-series au Sony. Na si kwa muimbaji au Performer na wala composer.


 
Jamaa anajivunia mafanikio kupitia mgongo wa mtu mwengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nje ya mada, hivi rayvan hizo tracksuit hazichoki. Mpaka beach na mitracksuit [emoji23][emoji23][emoji23]
 
rayvan sijawahi kukuelewa kabisa unachoimba
 
Bado natafuta 'alipotuaibisha watanzania' sipaoni
Mchawi utamjua tu,kwamba amekosa ungo tu aruke. Hawa ndio wanakesha kutafuta makosa,wakiyakosa wanayatengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…