Rayvann unatuabisha watanzania

kuna collaboration za kimataifa nyingi TU, eg ya yemi alade vs Rick Ross why ngoma ile hadi hivi leo haina hata views M5 huko YouTube ili hali Ross ni msanii mkubwa duniani tena mwenye jina kubwa duniani na wanao mfuatilia ni watu kibao ulimwenguni kote?? kumbuka mziki wa sasa unaendeshwa kisomi zaidi hamanishii views hizo kwake zitampita mkenge, jua kabisa kwa kila view ana per cent yake mkuu.
 
Kusema kwamba mwanadada ndie aliefanya hiyo teaser ifikishe 4.5 m ni kumkosea adabu vanny boy. Nimeangalia youtube channel ya huyo dada hana wimbo hata mmoja aliozidi 5M viewers
umebugi
 
nyimbo si ya rayvanny kwenye ukweli tuseme si sababu hewa
 
acha kukalili IT tupo hpa wewe YouTube unalipwa kwa click za matangazo kulingana na walioview tangazo sio kutetea mahaba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…